Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

wana jamvi, salaamNaomba ushauri nini sababu ya wanawake (baadhi) kutoa harufu mbaya sana ukeni? ni uchafu kutojua safisha mwili vizuri au ugonjwa?
 
Harufu mbaya kama nini?usaha? uvundo? maziwa ya mgando? Mkojo? kama shombo ya samaki? au ?
 
ni zaidi ya shombo ya samaki, na hii unaipata pindi unaposex na mwanamke, yaani harufu kali sana na inaboa sana, alafu unakuta mdada yupo comfy tu,,lloh!
 
Sipendi mwanamke mwenye uke unae nuka shombo ya sato
 
ni zaidi ya shombo ya samaki, na hii unaipata pindi unaposex na mwanamke, yaani harufu kali sana na inaboa sana, alafu unakuta mdada yupo comfy tu,,lloh!
hahahaH!
most likely, B.V.
Hii inawatokea sana wale wanawake wanaopenda kujisafisha ukeni kwa kutumia dettol, sabuni kali na kemikali zingine.
Wanafikiri wanajiweka wasafi kumbe wanajiharibia vibuyu vyao.
Anahitaji tiba huyo.
 
...wengine ni ugonjwa,wengine ni uchafu tu,ngoja waje walengwa wafafanue vyema. Vipi kiongozi umefukunyua lichangu nini ...
 
Wakati mwingine pua zako pia hazi-sense harufu sawa sawa/itakiwavyo kiasi cha kuishia ku-sense harufu mbaya. Ukimpata mwenye uke wenye harufu ya uke, ni raha gani jamani. Umenikumbusha mbali. Wanawake wengi siku hizi wanakosa hii hali!
 
hahahaH!
most likely, B.V.
Hii inawatokea sana wale wanawake wanaopenda kujisafisha ukeni kwa kutumia dettol, sabuni kali na kemikali zingine.
Wanafikiri wanajiweka wasafi kumbe wanajiharibia vibuyu vyao.
Anahitaji tiba huyo.

Sasa nini ushauri wako watumie Omo kusafisha uke?
 
uzungu kibao mambo yote sabuni ya kuku na maji tu umemaliza hii antibacterial soap haifai
 
Kunawatu wanajidai mabingwa wa usafi wanaingiza midole hadi kwa ndani eti wanajiswafi,ukiwaelewesha wabishi kama nini!
 
nadhani labda wanaogegedwa ndo wanapaswa kusafisha ndani huko kuingiza brash ila kama huguswi guswi mi naona haipaswi mimi huwa sijiingizi vidole na sijawai kuona uchafu au harufu mbaya wala maji machafu....nadhani haipaswi kuingiza kitu huku
 
kwa vituko ùmetisha
 
Back
Top Bottom