Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Umejaribu kumuuliza juu ya hiyo harufu ukasikia anasemaje?
nashindwa jinsi ya kumuingia ,hofu yangu huenda. akahisi ninamnyanyapaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaribu kumuuliza juu ya hiyo harufu ukasikia anasemaje?
nashindwa jinsi ya kumuingia ,hofu yangu huenda. akahisi ninamnyanyapaa
Usiogope kumpa ushauri kwa sababu hata yeye hilo tatizo analijua lakini hana namna na usizani hafanyii usafi K yake, anafanya sana. Siku utakaponana naye be open na usiogope umwambie afanye zoezi hili kwa siku 3 mfululizo. Usiku akimaliza kula aloweke maji kwenye sufuria lililosongewa ugali usiku halafu asubuhi achukue hayo maji kwenye beseni anaenda kusafishia kwenye K na maji kidogo anajimwangia mwili mzima. Usiogope hata olewa. Nilishawahi kumsaidia ke mmoja akaolewa hadi nikitaka huwa najipigia kiroho safi. Best wishes
Labda una yeast infection wewe. Nenda sbitali.
mkuu sijaelewa hapo, hiyo ni dawa ya kukata harufu au ni dawa itakayomfanya aolewe?
siku 3 ndio dozi yenyewe?
K inasafishwa kwa maji mengi na utumie mkono wako kidole cha kati unassfisha humo ndani taratibu hadi uchafu unaisha tafadhali usitumie sabuni wala deto ni hatari, baada ya kuisaficha chemsha maji moto weka ktk ndoo ndogo uikalie ile ndoo panua miguu acha mvuke ukuingie huku ukivuta hewa na kuachia ule mvuke unasaidia kutoa mgando wa ndani kwenye kuta za K ambapo huwezi kuzifikia kwa kidole baada ya hapo nawa tena na maji. Harufu yote itakwishwa ila kama kuna fungus au UTI nenda hospital watakutibu, wakati mwingine UTI pia hutoa harufu
Mkuu hiyo ndiyo dawa ya kutibu hiyo harufu. Na dozi ndo hizo siku 3. Mi nilikuwa nadhani umeshamwambia? Unadhani kwa hiyo harufu unadhani nani atamuoa? Msaidie kama unampenda
Hili ni tatizo la kawaida na matibabu yake yapo inasababishwa na jamii ya amoeba na fungus hivyo afike hospitali atapata matibabu na si yagharama sana. Mjulishe tu na inaambukizwa kwa wanawake hata kwa kuchangia choo,yaani hasa vya kisasa au taulo. Wakati mwingine utumiaji wa sabuni za kisasa husababisha maana ni kali sana hasa ukizingatia wenzetu wa kisasa wanaosha K na kumaliza ile natural defence ya asili!
