Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

Nimekwenda mara kadhaa Sumbawanga kwa Private car huwa nalala Iringa mjini kule juu kwenye hotel mara nyingi nafika saa 4 usiku restaurant ya hotel inakuwa imeshafungwa na wapishi wameondoka mji ni kimya kabisa hiyo ni saa 4 usiku, asubuhi nikitoka mapema napita Mbeya na Tunduma naingia Sumbawanga Holland hotel mapema tu.

Sasa kuna siku nimesafiri na bus la Wachina linaingia Sumbawanga saa 8 usiku, hotelini restaurant imeshafungwa kwenda stand ya zamani hapo Sumbawanga mjini hakuna chakula niliambulia kununuwa migebuka na maandazi ili angalau nidanganye tumbo.
 
Saa nne unakamatwa na sungusungu eti anakuyliza unatoka wapi usiku huu
 
Hahaha
 
True 100%.

Wanawake wote wazuri hikimbilia dar na wengine huletwa na wanaume wa vijijini maisha yakiwashinda wanatuachia.

Yaani Dar kila mwanamke ni mzuri.

Harafu wote nyashi
Nikienda Arusha hata kwa siku 3 tu kisha nikarudi Dar, moja ya kitu huwa kinanipa tabu ni kuwatazama wanawake wa hapa mjini. Aisee ni wabayaa mnoo. Yan unaweza sema ni weupe ila ukirud toka Arusha unaona kama wanawake wa hapa Dar wameungua flan au wameiva kwa joto la hapa town kama embe za kupuliza moto ziive ,wala sio weupe. Wanawale weusi unawaona kama ninwana shida ya ngozi (ukurutu) wala sio weusi.

Mpaka angalau week 1 ikate ndio maanza kuwazoea tena
 
Usingizi ni Afya, ni Muhimu sana Mtu kupumzika vizuri kwa masaa at least 7 au 8, usijisifie kutokulala na kujiona mjanja🫠

wengi wanaopumzika vizuri wana pesa au hali nzuri kiuchumi, sio Hohehahe

Dsm ina hali mbaya sana kimazingira, inanuka sana, inanuka vinyesi, shombo na jalala kila kona

Joto pia ni kali sana

Kutokana na kero hizo utawezaje kupata utulivu na kulala vizuri kwa wakati? Labda kama wewe ni Funza au Inzi
 
Naunga mkono hoja. Saa7 una menya chips manake watu wa huko wanashida sana. Muda wa kulala na familia wee Bado unafanya kazi. Mchana unatosha kabisa kuingiza Hela.
Watu wa mikoani mna tabu sana, Dar kuna sehemu biashara ya chakula inaanza saa 1 usiku mpaka asubuhi, wale kuku Sekela wanalika usiku, pita enzi hizo Barafaa, American Chips, Muchacho hao ni maexpert wa kuku chips usiku.

Dar sasa hivi serikali imepitisha biashara zifanyike 24 hours, Warundi, Wazambia na Wacongo wakiingia tu wafunge mzigo.
 
Wanawake wazuri wako,arusha,tanga,manyara,singida,moshi na kondoa full stop
 
Kwaiyo kukaa nje/ kutoka nje usiku ndio ujanja?
 
Sasa huyu limbukeni wa Dar anasema wanawake wazuri wapo Dar wakat sisi tuko Dar daily na hatuwaoni.
Ilankwakua tunatembea smtembea sana ndio tunafahamu haya mambo. Dar zimejaa screpa tu
Dar hakuna wanawake,ni majini tu hayo mikorogo,nyuso zimeparama,wana rangi mbili au tatu
 
Arusha ni issue nyingine kwenye kipengele cha pisi kali.
 
Pale Uptown City of Johannesburg, kuna kitongoji kinaitwa Hillbrow aisee hapo ni 24 hours hapapoi, thats the meaning of big City.
Hillbrow nimekaa pale mika 23 iliyopita, ni sehu ambayo uhalifu ulikuwa juu sana miaka hiyo sijui saa hii
 
Sasa huyu limbukeni wa Dar anasema wanawake wazuri wapo Dar wakat sisi tuko Dar daily na hatuwaoni.
Ilankwakua tunatembea smtembea sana ndio tunafahamu haya mambo. Dar zimejaa screpa tu
Kama unashinda kwenye pombe hao watoto wazuri wanaokula ice cream utawaonea wapi?

Wewe utakutana na madanga tu kwenye hizo pub ukimuomba utamu na birthday yake inakuwa wiki hiyohiyo ma kodi ya nyumba imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…