Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sio Dar tu ila tukubali hakuna kama Darkwahiyo maisha mazuri ni Dar tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Dar tu ila tukubali hakuna kama Darkwahiyo maisha mazuri ni Dar tu?
Nimekwenda mara kadhaa Sumbawanga kwa Private car huwa nalala Iringa mjini kule juu kwenye hotel mara nyingi nafika saa 4 usiku restaurant ya hotel inakuwa imeshafungwa na wapishi wameondoka mji ni kimya kabisa hiyo ni saa 4 usiku, asubuhi nikitoka mapema napita Mbeya na Tunduma naingia Sumbawanga Holland hotel mapema tu.Mkoa gani ulitafuta chakula kwa tochi? Au unaongelea aina ya chakula,ulikosa chips kavu? Kama ulikuwa Arusha ungeenda Granmelia ipo pale mkuu ina hadhi ya nyota tano kama Serena unapokunywa chai. Au kama ni masikini masikini ungeenda maeneo Shivers/Mrina ungepata nyama choma na mad* wa kununua.
Tabora ungeenda hata Tabora Belmonte ni nyota tatu haifikii Hyatt unapokula mchana ila ingefidia kidogo, wazungu weusi wenzako huwa wanalala pale pia, kama ni masikini masikini unataka wa kununu ukachakate ungeenda Oxygen Lounge/Club nadhani bado ipo nilipita muda kidogo.
Mwanza zipo sehemu kibao, Iringa zipo.....Mbeya pia nimeshacheki night life yao.
Issue ni hela hamna, au nyie ni madogo na night life mnaigiza mnataka mkute watu weengiii muanze ukenge ukenge 😀 sababu mmeshazoea kufuata mikumbo ya msafara wa mamba.
Halafu watu wa hivi na mitazamo hii hata hapa Dar ndio nyie tunawakimbia club kubwa tunaenda katika vi bar vya nje sababu brother brother nyiiingiii ni bia ya saba zote za mizinga,na kusimulia historia za zamani, ulegend wa kibwege oooh hapa Kino mi legend, babu yangu sijui hivi, wakati watu wanataka kula life kwa kidogo kilichopatikana.
Ukiwasha sigara, haujafika hata katikati anaitaka, unampa nzima anaiweka mfukoni anasubiri unayovuta. Mwishowe unambwatukia dogo kuwa na adabu, kwanza nani kakuita hapa....umeshapata bia na sigara. Ondoka
NB SIO LAZIMA UWE WEWE NDIO WATU KIBAO WALIVYO
True 100%.Wanawake asilimia kubwa wanaojiona asilimia wazuri Tanzania nzima wanakimbilia Dar.
Wa levels zote za maisha.
Saa nne unakamatwa na sungusungu eti anakuyliza unatoka wapi usiku huuHuwa napata tabu sana nikienda mkoani.
Kule ikifika saa 11 jioni wanapika chakula cha usiku.
Kama ni familia mtakuwa na masaa mawili ya stori baada ya hapo kila mtu anaenda kulaza ubavu wake.
Mkoani ni kitu cha kawaida kuona muuza duka anafunga biashara saa 1 jioni.
Saa 3 usiku kule ni usiku wa manane na ndio mida ambayo hata wezi wanakuwa na confidence ya kufanya uhalifu wao bila kusanukiwa.
Ofcz hakuna kama Dar kama ilivyo Hakuna kama Arusha wala Hakuna kama Mwanza wala hakuna kama Njombe.Sio Dar tu ila tukubali hakuna kama Dar
HahahaNimekwenda mara kadhaa Sumbawanga kwa Private car huwa nalala Iringa mjini kule juu kwenye hotel mara nyingi nafika saa 4 usiku restaurant ya hotel inakuwa imeshafungwa na wapishi wameondoka mji ni kimya kabisa hiyo ni saa 4 usiku, asubuhi nikitoka mapema napita Mbeya na Tunduma naingia Sumbawanga Holland hotel mapema tu.
Sasa kuna siku nimesafiri na bus la Wachina linaingia Sumbawanga saa 8 usiku, hotelini restaurant imeshafungwa kwenda stand ya zamani hapo Sumbawanga mjini hakuna chakula niliambulia kununuwa migebuka na maandazi ili angalau nidanganye tumbo.
Nikienda Arusha hata kwa siku 3 tu kisha nikarudi Dar, moja ya kitu huwa kinanipa tabu ni kuwatazama wanawake wa hapa mjini. Aisee ni wabayaa mnoo. Yan unaweza sema ni weupe ila ukirud toka Arusha unaona kama wanawake wa hapa Dar wameungua flan au wameiva kwa joto la hapa town kama embe za kupuliza moto ziive ,wala sio weupe. Wanawale weusi unawaona kama ninwana shida ya ngozi (ukurutu) wala sio weusi.True 100%.
Wanawake wote wazuri hikimbilia dar na wengine huletwa na wanaume wa vijijini maisha yakiwashinda wanatuachia.
Yaani Dar kila mwanamke ni mzuri.
Harafu wote nyashi
Watu wa mikoani mna tabu sana, Dar kuna sehemu biashara ya chakula inaanza saa 1 usiku mpaka asubuhi, wale kuku Sekela wanalika usiku, pita enzi hizo Barafaa, American Chips, Muchacho hao ni maexpert wa kuku chips usiku.Naunga mkono hoja. Saa7 una menya chips manake watu wa huko wanashida sana. Muda wa kulala na familia wee Bado unafanya kazi. Mchana unatosha kabisa kuingiza Hela.
Wanawake wazuri wako,arusha,tanga,manyara,singida,moshi na kondoa full stopNikienda Arusha hata kwa siku 3 tu kisha nikarudi Dar, moja ya kitu huwa kinanipa tabu ni kuwatazama wanawake wa hapa mjini. Aisee ni wabayaa mnoo. Yan unaweza sema ni weuoe ila ukirud toka Arusha unaona kama wanawake wa hapa Dar wameungua flan wala sio weupe. Wanawale weusi unawaona kama ninwana shida ya ngozi (ukurutu) wala sio weusi.
Mpaka angalau week 1 ikate ndio maanza kuwazoea tena
Sasa huyu limbukeni wa Dar anasema wanawake wazuri wapo Dar wakat sisi tuko Dar daily na hatuwaoni.Wanawake wazuri wako,arusha,tanga,manyara,singida,moshi na kondoa full stop
Kwaiyo kukaa nje/ kutoka nje usiku ndio ujanja?Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Kuna mikoa sungusungu wanaanza doria saa tatu,ukizubaa unakamatwa na kuulizwa eti unatoka wapi usiku huu ,saa tatu ni usiku??
Mnalala sana mikoani
Dar hakuna wanawake,ni majini tu hayo mikorogo,nyuso zimeparama,wana rangi mbili au tatuSasa huyu limbukeni wa Dar anasema wanawake wazuri wapo Dar wakat sisi tuko Dar daily na hatuwaoni.
Ilankwakua tunatembea smtembea sana ndio tunafahamu haya mambo. Dar zimejaa screpa tu
Rangi 2 kama tetracycline au amoxyline kisa mikorogoDar hakuna wanawake,ni majini tu hayo mikorogo,nyuso zimeparama,wana rangi mbili au tatu
Arusha ni issue nyingine kwenye kipengele cha pisi kali.Nikienda Arusha hata kwa siku 3 tu kisha nikarudi Dar, moja ya kitu huwa kinanipa tabu ni kuwatazama wanawake wa hapa mjini. Aisee ni wabayaa mnoo. Yan unaweza sema ni weupe ila ukirud toka Arusha unaona kama wanawake wa hapa Dar wameungua flan au wameiva kwa joto la hapa town kama embe za kupuliza moto ziive ,wala sio weupe. Wanawale weusi unawaona kama ninwana shida ya ngozi (ukurutu) wala sio weusi.
Mpaka angalau week 1 ikate ndio maanza kuwazoea tena
Nina 20yrs in town now.We mshamba Dar uliingia lini, umetokea wapi. Mji wa wazaramovumekufanya udharau kwenu?
Hillbrow nimekaa pale mika 23 iliyopita, ni sehu ambayo uhalifu ulikuwa juu sana miaka hiyo sijui saa hiiPale Uptown City of Johannesburg, kuna kitongoji kinaitwa Hillbrow aisee hapo ni 24 hours hapapoi, thats the meaning of big City.
Kama unashinda kwenye pombe hao watoto wazuri wanaokula ice cream utawaonea wapi?Sasa huyu limbukeni wa Dar anasema wanawake wazuri wapo Dar wakat sisi tuko Dar daily na hatuwaoni.
Ilankwakua tunatembea smtembea sana ndio tunafahamu haya mambo. Dar zimejaa screpa tu