Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

Eli Cohen pitia hapa jamaa kaandika list ndefu kweli:
 
Ulikua huangalii mpira???
 
Carlos tevez🇦🇷
Berkham
Francoo zola
Beckhamp
Henry
Crespo🇦🇷
Ronaldo
Alan shearer
Fabicio coloccini🇦🇷

Hawa ni baadhi tu, japo sijataja first 11
 
Rekebisha kauli kwanza
Hapo ingetosha kusema kuanzia 2000
Na sio muda wote halafu tena kuanzia 2000!!
Halafu hao neville na scholes,best perfomances zao zilikuwa 90s na sio 2000s...
Team yako pia imekosa balance,huwezi kumpanga gerrald DM! hapo vieira au kante wangefaa,na beki mbili toa neville weka lauren au walker
Hiyo team kukosekana de bruyne na salah ni uhalifu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…