Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

1.Cech

4. S.Campbell 5. R. Ferdinand 3. Evra

2. Ivanovic 6. Essien

7. CR7 8. KDB 11. R. GIGS

9. D.Drogba 10. salah
 
Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2

...................Cech...........

.........neville Vidic Terry Cole........

........Scholes Gerrard Lampard........

............... Rooney ............

Ronaldo....................Henry
hii lineup yako inaonesha umeanza kufuatilia epl kuanzia mwaka 2000..... otherwise kuna watabe hapo usingeacha kuwaweka!

peter czech hajawazidi yule gk wa utd kabla ya van der ser (somebody peter schmeichal kama sijakosea spelling), then kuna Lehman pale Arsenal,

middle, unawaachaje nje Roy keane na Viera?

Ronaldo huwezi kumweka mbele ya Salah kama tukiangalia namba,

anyway, japo huwezi kufit wachezaji bora wote, mie ningeiweka namna hii

1. peter schmeichel
2. garry nevvile (moja ya wachezaji wasio na kipaji[emoji23], actully epl hawajawahi pata rb aina ya dan alves)
3. ashley colle
4. tony adams
5. john terry
6. viera
7. gerrard
8. scholes
9. shearer
10. henry
11. salah


notable mention

1. czech
2. walker
3. .....
4. rio ferdinand
5. vicent company
6. roy keane
7. ronaldo
8. lampard
9. drogba
10. kdb
11. rooney
 
DUu kwaiyo ww mwaka 2000 ulikuwa unafuatilia kandanda
🤣🤣
Nilianza kuwa mraibu wa ushabiki wa Manchester united msimu wa 2001/2002
Kipindi hicho kulikuwa na talents nyingi sana....

Soccer la miaka hiyo lilikuwa lina-entertain individual talents tofauti na mpira wa kileo unao-encourage mbinu zaidi...mbinu zimeharibu ladha ya Soccer....vipaji vimeadimika mno.

Fikiria miaka ya 2000's mwanzoni
Ulikuwa na Giggs, Beckham, Scholes, Keane na Van Nisterooy....

Nyakati zilezile una Henry, Pires, Campbell, Bergkamp, Anelka, Cole, Viera

Bado yupo Owen, Gerald, Lampard, Gallas, Drogba, Robben, Duff, Essien

Msimu wa 2003/2004 Ronaldo, Rooney, Febregas, Van persie, Edu, Saha....
Hiyo ni England tu.

Duniani kwingine sasa...Gaucho
Figo, Zidane, Edgar Davis, Carlos, Cafu, Totti, Makelele, Van bronchitis, Raul, Gonzalez, casillas, na yule kiungo wa uholanzi mweusi siku hizi ni kocha.

Hao wote walikuwa kwenye peak levels miaka ya 2000's... wote kwa nyakati moja au kuzidiana miaka 3-4.

Sasa leo 2020's wapo nyota wangap wanao-trend leo kwa pamoja.
 
1. Edwin Van Deser.
2.Blaslove Ivanovic.
3. Ashley Cole.
4. John Terry.
5. Nemanja Vidic.
6. Ngolo Kante.
7. Christian Ronaldo.
8. Steven Gerald.
9. Didie Drogba.
10.Frank Lampard.
11. Mohamed salah.


Substution
Peter shumaiko, Evra, Anord,Ferdnand,makelele, scoles, Tores.

4-2-3-1
 
Hakuna forward atatokea Premier league kama Thiery Henry kwa miaka hii ambayo imetajwa. He was unstoppable, Strength, speed, technicality na precision. Wote tuliowahi kuangalia mpira zama hizi hakuna kama Titi, sio salah wala Drogba no one comes close. Na sio mimi wachezaji wote wa premier league era ile wanasema Henry was best premier league player. Hivyo list bila TITI ni invalid kwangu.
 
Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2

...................Cech...........

.........neville Vidic Terry Cole........

........Scholes Gerrard Lampard........

............... Rooney ............

Ronaldo....................Henry
Shomaiko
Walker
heinze
Vidic
Terry
Makelele
Pires
Lampard
Wazza
Henry
Cr7

4-4-2
 
🤣🤣
Nilianza kuwa mraibu wa ushabiki wa Manchester united msimu wa 2001/2002
Kipindi hicho kulikuwa na talents nyingi sana....

Soccer la miaka hiyo lilikuwa lina-entertain individual talents tofauti na mpira wa kileo unao-encourage mbinu zaidi...mbinu zimeharibu ladha ya Soccer....vipaji vimeadimika mno.

Fikiria miaka ya 2000's mwanzoni
Ulikuwa na Giggs, Beckham, Scholes, Keane na Van Nisterooy....

Nyakati zilezile una Henry, Pires, Campbell, Bergkamp, Anelka, Cole, Viera

Bado yupo Owen, Gerald, Lampard, Gallas, Drogba, Robben, Duff, Essien

Msimu wa 2003/2004 Ronaldo, Rooney, Febregas, Van persie, Edu, Saha....
Hiyo ni England tu.

Duniani kwingine sasa...Gaucho
Figo, Zidane, Edgar Davis, Carlos, Cafu, Totti, Makelele, Van bronchitis, Raul, Gonzalez, casillas, na yule kiungo wa uholanzi mweusi siku hizi ni kocha.

Hao wote walikuwa kwenye peak levels miaka ya 2000's... wote kwa nyakati moja au kuzidiana miaka 3-4.

Sasa leo 2020's wapo nyota wangap wanao-trend leo kwa pamoja.
Hawafiki 10 duniani😅
 
Back
Top Bottom