mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
1.edwin van daseer 2.ashely cole 3. Anord ,. 4. Kolo toure 5.rio Ferdinand 6. Makelele 7.ronaldo 8.sesci farbegas 9. Henry 10. De bruyne 11.saka
Pole mkuu,Mimi nimezaliwa miaka ya 90's lakini nakumbuka wachezaji wote wa world cup 1998 kwa majina, primary school darasa la tatu natoroka shule kuangalia mpira iwe yanga,timu ya mtaani au Manchester..now mzuka umepengua .. UEFA final juzi sijaangalia,Caf final nimeangalia first half..wakati secondary tushatoroka shule usiku saa sita pori kwa pori kilomita Kama 4 kwenda kuangalia UEFA final,na hapo mkishikwa shule mnafukuzwaNdio, ila itabidi nianze
Van Der SarMimi nitaenda na formation: 4-3-1-2
Cech
neville Vidic Terry Cole
Scholes Gerrard Lampard
Rooney
Ronaldo Henry
Sasa wewe thread inahusu epl wewe unaweka orodha ya wa mataifa yote,huoni unachanganya madesa?Eli Cohen pitia hapa jamaa kuandika list ndefu kweli:
Daah, hapo ndipo binadamu tunatofautiana...Pole mkuu,Mimi nimezaliwa miaka ya 90's lakini nakumbuka wachezaji wote wa world cup 1998 kwa majina, primary school darasa la tatu natoroka shule kuangalia mpira iwe yanga,timu ya mtaani au Manchester..now mzuka umepengua .. UEFA final juzi sijaangalia,Caf final nimeangalia first half..wakati secondary tushatoroka shule usiku saa sita pori kwa pori kilomita Kama 4 kwenda kuangalia UEFA final,na hapo mkishikwa shule mnafukuzwa
😅 Nisamehe sielewi kitu mkuuSasa wewe thread inahusu epl wewe unaweka orodha ya wa mataifa yote,huoni unachanganya madesa?
Yaya Toure alikua bora sana, Japokua walikosana na Guardiola.4-4-2
Peter Cech
Ivanovich, John Terry, Leo Ferdinard, Ashey Cole
Christiano Ronaldo, Lampard, Yaya Toure/Fernandinho, Ngolo Kante, Giggs
Didier Drogba, Sergio Aguero
Gadiola mjanja akishafika katika kikosi chochote anaangaliaga mchezaji yupi mwenye ushawiishi anamtoaYaya Toure alikua bora sana, Japokua walikosana na Guardiola.
Lakini kama angakuwepo na kupata nafasi nadhani angepewa heshima kama KDB tu.
Owen kacheza mwaka ghan?Rio Ferdinand John Terry sol Campbell
Center backs (punguza mmoja)
Ashley Cole, Gary Neville
( full backs)
Scholes, Gerald, Beckham,
(Midfield)
Owen, Drogba, Ronaldo
(Punguza mmoja)
Sasa kwani ibrahimovic alimkuta barca au alimsajili? Halafu wewe muongo Et'oo ilikuwa ni inclusive swoop deal ya ibrahimovic na issue ya msingi wala sio ushawishi ni playing style kufit na formation yake..acha habari za vijiwe vya kahawa. Kuna kocha gani atamtoa mchezaji mzuri kwenye team yake kwa sababu ya ushawishi? Au ushawishi gani wamaanisha?Gadiola mjanja akishafika katika kikosi chochote anaangaliaga mchezaji yupi mwenye ushawiishi anamtoa
Fatilia historia ya eto'o, ibrahimovic, shweinsteiga, toure na wengine
2000-2004 0wen alikuwa hashikiki pale Liverpool....yeye na emily helskyOwen kacheza mwaka ghan?