Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Nafikiri 4
EPL ligi ya hovyo sana ni vile iko overrated
Nafikiri 4
Huu ni uzushi.... Ronaldo, Torres, Suares, Drogba, Rooney, Kane, hao wamecheza mpita mgumu tofauti na butuabutua ya enzi za Tiery Henry... Ni kama hadithi za ngano za Pele alifunga zaidi ya goli elfu 3.Hakuna forward atatokea Premier league kama Thiery Henry kwa miaka hii ambayo imetajwa. He was unstoppable, Strength, speed, technicality na precision. Wote tuliowahi kuangalia mpira zama hizi hakuna kama Titi, sio salah wala Drogba no one comes close. Na sio mimi wachezaji wote wa premier league era ile wanasema Henry was best premier league player. Hivyo list bila TITI ni invalid kwangu.
Yuko sahihi.Sasa kwani ibrahimovic alimkuta barca au alimsajili? Halafu wewe muongo Et'oo ilikuwa ni inclusive swoop deal ya ibrahimovic na issue ya msingi wala sio ushawishi ni playing style kufit na formation yake..acha habari za vijiwe vya kahawa. Kuna kocha gani atamtoa mchezaji mzuri kwenye team yake kwa sababu ya ushawishi? Au ushawishi gani wamaanisha?
Zllikuwepo kwani WAKATI Andy cole na Dwighty Yorke wanacheza ilikuwa mwaka Gani mkuu.CHai hii, Tv ulitoa wap miaka hiyo kufuatilia lig
Kivipi?Yuko sahihi.
Guardiolla ana MATATIZO na tabia binafsi.Kivipi?
Fafanua basi mbona mafumbo tuu?Guardiolla ana MATATIZO na tabia binafsi.
Ligi gani? Mataifa huru ya 1992 nimeangalia, unahisi kama kwenu mlikuwa hamna TV basi kila mtu kwao walikuwa hawana TV? Unajua TVZ ilianzishwa mwaka gani? Costal Television Network nayo ilikuja kuanzishwa mwaka gani?, usichojua ni mwanangu wa kwanza yupo form four now.CHai hii, Tv ulitoa wap miaka hiyo kufuatilia lig
Kwa kwelLigi gani? Mataifa huru ya 1992 nimeangalia, unahisi kama kwenu mlikuwa hamna TV basi kila mtu kwao walikuwa hawana TV? Unajua TVZ ilianzishwa mwaka gani? Costal Television Network nayo ilikuja kuanzishwa mwaka gani?, usichojua ni mwanangu wa kwanza yupo form four now.