Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 604
- 2,166
Kama ni hivi ina make sense sana.Gadiola mjanja akishafika katika kikosi chochote anaangaliaga mchezaji yupi mwenye ushawiishi anamtoa
Fatilia historia ya eto'o, ibrahimovic, shweinsteiga, toure na wengine
Hii imeenda3 - 5 - 2
P. Cech
R. Ferdinand S. Campbell J. Terry
P. Evra P. Viera. F. Lampard P. Scholes A. Cole
D. Drogba C. Ronaldo
hii lineup yako inaonesha umeanza kufuatilia epl kuanzia mwaka 2000..... otherwise kuna watabe hapo usingeacha kuwaweka!Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2
...................Cech...........
.........neville Vidic Terry Cole........
........Scholes Gerrard Lampard........
............... Rooney ............
Ronaldo....................Henry
😳😳😂😂🙏🙏Willy caballero,victor lindolof,Maguire,Nathan clyne,axel disasi,timoye bakayoko,loftus cheek,bamidelle Ali,Jesse lingard,Antony,samatta
DUu kwaiyo ww mwaka 2000 ulikuwa unafuatilia kandanda2000-2004 0wen alikuwa hashikiki pale Liverpool....yeye na emily helsky
Amestaafu 2011...akiwa man united
🤣🤣DUu kwaiyo ww mwaka 2000 ulikuwa unafuatilia kandanda
Schmeichel aliondoka 1999 akarudi 2001 akiwa sio yule wa 1990 hadi 1999.Peter shumaiko
Gary Neville
Cole Ashley
Terry
Rio
Pogba
Keane
Henry
Rooney
Ronaldo
Drogba
Humu tupo rika tofauti, binafsi nimeanza fatilia 1992DUu kwaiyo ww mwaka 2000 ulikuwa unafuatilia kandanda
Kweli humu watoto wadogo ni wengi sana.. yani kufuatilia mpira mwaka 2000 anaona ilikuwa mbali..DuhHumu tupo rika tofauti, binafsi nimeanza fatilia 1992
ShomaikoMimi nitaenda na formation: 4-3-1-2
...................Cech...........
.........neville Vidic Terry Cole........
........Scholes Gerrard Lampard........
............... Rooney ............
Ronaldo....................Henry
Hawafiki 10 duniani😅🤣🤣
Nilianza kuwa mraibu wa ushabiki wa Manchester united msimu wa 2001/2002
Kipindi hicho kulikuwa na talents nyingi sana....
Soccer la miaka hiyo lilikuwa lina-entertain individual talents tofauti na mpira wa kileo unao-encourage mbinu zaidi...mbinu zimeharibu ladha ya Soccer....vipaji vimeadimika mno.
Fikiria miaka ya 2000's mwanzoni
Ulikuwa na Giggs, Beckham, Scholes, Keane na Van Nisterooy....
Nyakati zilezile una Henry, Pires, Campbell, Bergkamp, Anelka, Cole, Viera
Bado yupo Owen, Gerald, Lampard, Gallas, Drogba, Robben, Duff, Essien
Msimu wa 2003/2004 Ronaldo, Rooney, Febregas, Van persie, Edu, Saha....
Hiyo ni England tu.
Duniani kwingine sasa...Gaucho
Figo, Zidane, Edgar Davis, Carlos, Cafu, Totti, Makelele, Van bronchitis, Raul, Gonzalez, casillas, na yule kiungo wa uholanzi mweusi siku hizi ni kocha.
Hao wote walikuwa kwenye peak levels miaka ya 2000's... wote kwa nyakati moja au kuzidiana miaka 3-4.
Sasa leo 2020's wapo nyota wangap wanao-trend leo kwa pamoja.
CHai hii, Tv ulitoa wap miaka hiyo kufuatilia ligHumu tupo rika tofauti, binafsi nimeanza fatilia 1992