Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

Huu ni uzushi.... Ronaldo, Torres, Suares, Drogba, Rooney, Kane, hao wamecheza mpita mgumu tofauti na butuabutua ya enzi za Tiery Henry... Ni kama hadithi za ngano za Pele alifunga zaidi ya goli elfu 3.
 
Yuko sahihi.
 
CHai hii, Tv ulitoa wap miaka hiyo kufuatilia lig
Ligi gani? Mataifa huru ya 1992 nimeangalia, unahisi kama kwenu mlikuwa hamna TV basi kila mtu kwao walikuwa hawana TV? Unajua TVZ ilianzishwa mwaka gani? Costal Television Network nayo ilikuja kuanzishwa mwaka gani?, usichojua ni mwanangu wa kwanza yupo form four now.
 
Kwa kwel
 
Kipa
. -petr cech
Beki
-rio Ferdinand..... Marcelo.....Virgil van djik....Trent Alexander
Midle-
Barkley......kante
Winga..
Bale.......neymar....messi
Fowadi..
Ronaldo(cr7)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…