Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Ni kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
Screenshot_20220710-095535_Opera Mini.jpg
 
Tanzania haijawahi kuwa ns Rais mkali kama Kikwete. Tulidanganywa na tabasamu lake la kinafiki.
Tanzania haijawahi kuwa ns Rais mkali kama Kikwete. Tulidanganywa na tabasamu lake la kinafiki.
Ukali wa vipi ?? Au ukali wa kuwashughulikia waliomkosoa kimya kimya ??! Na kuwayenga yenga waliokuwa wakimsifia ?? Kama hivyo ni sawa !!
 
Ccm wote Wana heshima za uoga, kwao kipaumbele ni matumbo na ulaji tu, Raisi anasema watanunua vichwa chakavu kwanza harafu vipya vitanunuliwa baadae, ccm wanapiga makofi!!!hakuna wakupinga, wanaogopa yasiwakute ya ndugai
vichwa vipya vya treni viwili nI bora kuliko vichwa kumi chakavu maana maintenance yake ni daily na kabla hujarudisha pesa uliyovinunulia tayari vimefeli kazi!wauzaji watakuwa wamemcheka na kumdharau sana Bimkubwa Samia!wamemuona hana akili kabisa huwezi kuanza mradi mpya wa matrilioni kwa Zana chakavu!! washauri wa Bimkubwa hawafai!!Wanampotosha achukue vichwa vingi chakavu ili mradi ukijakufeli watu waje waseme alikuwa Rais mjinga!

mi nimewaza Bimkubwa asiogope kelele akope pesa mifuko ya jamii anunue vichwa vipya tu maana hakuna Fao la Kujitoa pesa zimerundikana hazina kazi. Mradi utarudisha mkopo huo wa ndani usio na masharti ya kunyang'anywa bandari na wachina kama Sri Lanka!

Vichwa vipya vichache vitapiga kazi kubwa regularly nenda rudi usiku mchana mwanzo mwisho na vitanunua hizo vichwa chakavu ila vichwa chakavu havitaleta pesa ya kununua vichwa vipya sababu ya kupaki mara nyingi karakana for maintenance! this is simple logic Bimkubwa anafeli wapi? She is too smart for that! ameniangusha!

Kuna maamuzi mengi amepatia ila katika hili suala la kijinga kutumia vichwa chakavu vya treni Bimkubwa kachemka na kuwapa nguvu sana wote wanaosema anatumia akili za kuazima toka Msoga!
 
vichwa vipya vya treni viwili nI bora kuliko vichwa kumi chakavu maana maintenance yake ni daily na kabla hujarudisha pesa uliyovinunulia tayari vimefeli kazi!wauzaji watakuwa wamemcheka na kumdharau sana Bimkubwa Samia!wamemuona hana akili kabisa huwezi kuanza mradi mpya wa matrilioni kwa Zana chakavu!! washauri wa Bimkubwa hawafai!!

mi nimewaza Bimkubwa asiogope kelele akope pesa mifuko ya jamii anunue vichwa vipya tu maana hakuna Fao la Kujitoa pesa zimerundikana hazina kazi. Mradi utarudisha mkopo.
Matumbo kwanza alisema Kigwangala !!
 
Back
Top Bottom