Nyerere namba ingine.Mbona Nyerere alishawahi kupokelewa hivyo na nyimbo za taifa la Marekani na Tanzania zikapigwa kipindi John F. Kennedy akiwa raisi wa Marekani
Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)
Vijana wengi wa bongo mna uelewa mdogo sana inapohusu diplomatic issues na geopolitcs. Mnaongozwa sana na mihemko
View attachment 2997720
View attachment 2997723
Ruto kaanzisha mazungumzo ya kutumia African settlement for African trade hapo Addis Ababa, kuondoa settlement ya biashara za Africa kufanyika kwa US dollar hapo New York City.Sasa Kenya ina ushawishi gani Africa so far?
Kenya imetumika kama njia ya Marekani kuyahadaa mataifa mengine ya Africa
Yeah yoteni kutafuta ushawishi hata China imekuwai kimwaga billions of dollars kwa mataifa ya AfricaRito anajipanga kupiga USD 300 million kwenye deal moja tu kutokana na state visit hii.
Hiyo deal moja tu.
Biden thanks Kenya's Ruto for sending police to Haiti and defends keeping US forces from the mission
President Joe Biden has offered his deep appreciation to Kenyan President William Ruto for the coming deployment of 1,000 Kenyan police forces to help quell gang violence in Haiti.apnews.com
Ruto, Biden announce new investment deals as they seek deeper ties
Ruto's trip is the first state visit for an African president to the White House since 2008.www.theeastafrican.co.ke
View: https://youtu.be/pmKK6dKih3w?si=cTFlC-fz8Esex7NF
Umeniuliza kuhusu SA na Nigeria, nimekujibu kuhusu hizo nchi. Kwani hizo ni major non-NATO allies?Mkuu tunazungumzia major non-NATO ally status
Sasa taarifa kama hii kwa mtu anayefuatilia intl biz ni habari kweli?Ruto kaanzisha mazungumzo ya kutumia African settlement for African trade hapo Addis Ababa, kuondoa settlement ya biashara za Africa kufanyika kwa US dollar hapo New York City.
This is one of the most significant movement against the US dollar.
Unafuatilia haya mambo?
Hoja yangu ni kuwa taifa halihitaji non-NATO ally status kwenye masuala ya kiuchumi. Hilo la non-NATO ally status limekaa hasa kwenye masuala ya kiulinziUmeniuliza kuhusu SA na Nigeria, nimekujibu kuhusu hizo nchi. Kwani hizo ni major non-NATO allies?
Unaelewa hata ulichouliza ni nini?
Ushawishi ambao rais wako kashindwa na Ruto.Yeah yoteni kutafuta ushawishi hata China imekuwai kimwaga billions of dollars kwa mataifa ya Africa
Suala si kwamba ni habari au si habari.Sasa taarifa kama hii kwa mtu anayefuatilia intl biz ni habari kweli?
Nimekusoma ulivyo liweka hili, na jinsi ulivyojibiwa juu yake "biashara ni siasa"?Kwani Tanzania ni nchi ya kijamaa mpaka sasa? Umeona hoja zako jinsi hazina mashiko.
Why kwa Tz uangalie political historical backgroundna sio kwa Vietnam?
Deng Xiaoping alifanya mageuzi ya kibiashara na siyo ya kisiasa
Tangu tumeanza huu mjadala kuna mahali nimemshindanisha Ruto na Samia?Ushawishi ambao rais wako kashindwa na Ruto.
Kila nafasi ya kupeleka mbele uchumi inatakiwa kutumika.Hoja yangu ni kuwa taifa halihitaji non-NATO ally status kwenye masuala ya kiuchumi. Hilo la non-NATO ally status limekaa hasa kwenye masuala ya kiulinzi
Ndio maana nikatumia mifano ya Nigeria na SA hawana hiyo status lakini wamewapiga gap hata wenye hiyo status kiuchumi
Hiyo ni vintage Nyerere kabla ya Azimio la Arusha. Kennedy aliuawa November 1963 kwa hiyo hapo kabla hata ya Muungano na Zanzibar. Hiyo ilikuwa around 15 July 1963.Kumbe Nyerere alikuwa akienda kwa washua alikuwa anavunja kabati kama Baba Levo alivyokomelea akienda Bungeni...Chuini lai ilikuwa mwisho uwanja wa ndege
View attachment 2998424
Basi hujaelewa mada ya uzi.Tangu tumeanza huu mjadala kuna mahali nimemshindanisha Ruto na Samia?
Hiyo US$ 300 mln ni kwa ajili ya peacekeeping kule Haiti inahusianaje na maisha ya Mkenya pale Kenya?Kila nafasi ya kupeleka mbele uchumi inatakiwa kutumika.
Mtu masikini anayetafuta kuitoa hatakiwi kuona zana za kazi zimetupwa pembeni ya barabara na kusema "hizi zana za kqzi hqzina umuhimu, mbona Bakhressa alitoboa bila kutumia zana hizi?"
Hiyo non-NATO military ally status imempa Ruto fursa ya kupiga US dollar million 300, katika deal moja tu, utaidogoshaje?
Kwa hiyo kufanyiwa state visit ni kipaumbele? Mbona mna hoja hazina mashiko. Bado mna akili za kitumwaBasi hujaelewa mada ya uzi.
Sentensi ya kwanza kabisa katika uzi huu inauliza hivi.
"Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?"
Hiki kichwa kulia noma.Mbona Nyerere alishawahi kupokelewa hivyo na nyimbo za taifa la Marekani na Tanzania zikapigwa kipindi John F. Kennedy akiwa raisi wa Marekani
Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)
Vijana wengi wa bongo mna uelewa mdogo sana inapohusu diplomatic issues na geopolitcs. Mnaongozwa sana na mihemko
View attachment 2997720
View attachment 2997723
Inaingia katika mzunguko wa hela Kenya, watalipwa askari wa Kenya, itaenda kwenye projects za capacity building Kenya, etcHiyo US$ 300 mln ni kwa ajili ya peacekeeping kule Haiti inahusianaje na maisha ya Mkenya pale Kenya?