Ukiangalia jinsi Rais Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa

Ukiangalia jinsi Rais Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa

Mbona Nyerere alishawahi kupokelewa hivyo na nyimbo za taifa la Marekani na Tanzania zikapigwa kipindi John F. Kennedy akiwa raisi wa Marekani

Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)

Vijana wengi wa bongo mna uelewa mdogo sana inapohusu diplomatic issues na geopolitcs. Mnaongozwa sana na mihemko

View attachment 2997720

View attachment 2997723
Nyerere namba ingine.
Kuna kiongozi anaefikia IQ ya Nyerere hapa Afrika mashariki na kati!???
Jibu HAPANA.
 
Sasa Kenya ina ushawishi gani Africa so far?

Kenya imetumika kama njia ya Marekani kuyahadaa mataifa mengine ya Africa
Ruto kaanzisha mazungumzo ya kutumia African settlement for African trade hapo Addis Ababa, kuondoa settlement ya biashara za Africa kufanyika kwa US dollar hapo New York City.

This is one of the most significant movement against the US dollar.

Unafuatilia haya mambo?
 
Rito anajipanga kupiga USD 300 million kwenye deal moja tu kutokana na state visit hii.

Hiyo deal moja tu.

View: https://youtu.be/pmKK6dKih3w?si=cTFlC-fz8Esex7NF

Yeah yoteni kutafuta ushawishi hata China imekuwai kimwaga billions of dollars kwa mataifa ya Africa
 
Ruto kaanzisha mazungumzo ya kutumia African settlement for African trade hapo Addis Ababa, kuondoa settlement ya biashara za Africa kufanyika kwa US dollar hapo New York City.

This is one of the most significant movement against the US dollar.

Unafuatilia haya mambo?
Sasa taarifa kama hii kwa mtu anayefuatilia intl biz ni habari kweli?
 
Umeniuliza kuhusu SA na Nigeria, nimekujibu kuhusu hizo nchi. Kwani hizo ni major non-NATO allies?

Unaelewa hata ulichouliza ni nini?
Hoja yangu ni kuwa taifa halihitaji non-NATO ally status kwenye masuala ya kiuchumi. Hilo la non-NATO ally status limekaa hasa kwenye masuala ya kiulinzi

Ndio maana nikatumia mifano ya Nigeria na SA hawana hiyo status lakini wamewapiga gap hata wenye hiyo status kiuchumi
 
Yeah yoteni kutafuta ushawishi hata China imekuwai kimwaga billions of dollars kwa mataifa ya Africa
Ushawishi ambao rais wako kashindwa na Ruto.

Samia kapewa deal kuongoza mazungumzo ya climate change. Kaonekana mwanamke atapata attention.

Kashindwa vibaya sana.

Wazambia wamejipanga tu, hawakuwa hata na nafasi ya uongozi kwenye mazungumzo hayo.

Wamepiga mabilioni ya dola.

Kubali tu kuwa viongozi wako wa Tanzania ni wsshamba. Hawaijui dunia.
 
Sasa taarifa kama hii kwa mtu anayefuatilia intl biz ni habari kweli?
Suala si kwamba ni habari au si habari.

Ukweli ni kwamba Ruto kafanya uongozi katika suala muhimu, suala ambalo hakuna kiongozi wa Tanzania aliyeligusia, hata huyo mpinga mabeberu mkubwa Magufuli alishindwa kusimamia hoja muhimu kama hizi alikuwa anaropoka siasa tu.

Viongozi wa Tanzania ni washamba, hawajui geopolitics.
 
Kwani Tanzania ni nchi ya kijamaa mpaka sasa? Umeona hoja zako jinsi hazina mashiko.

Why kwa Tz uangalie political historical backgroundna sio kwa Vietnam?

Deng Xiaoping alifanya mageuzi ya kibiashara na siyo ya kisiasa
Nimekusoma ulivyo liweka hili, na jinsi ulivyojibiwa juu yake "biashara ni siasa"?
Kwa maana hiyo, aliyekujibu ni kwamba anaamini China na Vietnam sasa hivi siasa zao ni za kibeberu, pamoja na kwamba nchi hizo vyama vyao vinavyotawala ni vya kikommunisti. Hili linashangaza sana!

Kuna hiki kinachoitwa "Socialist Economy", ambacho Xi na wengine wanakizungumzia sana siku hizi. Bila shaka katika ubeberu hawakitambui kitu kama hicho, hata kama katika mifumo yao ya kiutawala miaka yote wamekuwa wakikitekeleza.

Nimekusoma majibishano yako na huyo mwenzako, naona unatoa mifano asiyokuwa na majibu juu yake.
 
Kumbe Nyerere alikuwa akienda kwa washua alikuwa anavunja kabati kama Baba Levo alivyokomelea akienda Bungeni...Chuini lai ilikuwa mwisho uwanja wa ndege

1716566843398.png
 
Hoja yangu ni kuwa taifa halihitaji non-NATO ally status kwenye masuala ya kiuchumi. Hilo la non-NATO ally status limekaa hasa kwenye masuala ya kiulinzi

Ndio maana nikatumia mifano ya Nigeria na SA hawana hiyo status lakini wamewapiga gap hata wenye hiyo status kiuchumi
Kila nafasi ya kupeleka mbele uchumi inatakiwa kutumika.

Mtu masikini anayetafuta kuitoa hatakiwi kuona zana za kazi zimetupwa pembeni ya barabara na kusema "hizi zana za kqzi hqzina umuhimu, mbona Bakhressa alitoboa bila kutumia zana hizi?"

Hiyo non-NATO military ally status imempa Ruto fursa ya kupiga US dollar million 300, katika deal moja tu, utaidogoshaje?
 
Kumbe Nyerere alikuwa akienda kwa washua alikuwa anavunja kabati kama Baba Levo alivyokomelea akienda Bungeni...Chuini lai ilikuwa mwisho uwanja wa ndege

View attachment 2998424
Hiyo ni vintage Nyerere kabla ya Azimio la Arusha. Kennedy aliuawa November 1963 kwa hiyo hapo kabla hata ya Muungano na Zanzibar. Hiyo ilikuwa around 15 July 1963.

Hapo miezi minne kabla ya kuuawa Nyerere. Watu walikiwa wanapanga mikakati ya kuudhibiti Ukomunisti usiingie Africa. Nyerere asingeweza kuvaa Kikomunisti.

Nyerere alianza kuvaa collarless suits baadaye.
 
Kila nafasi ya kupeleka mbele uchumi inatakiwa kutumika.

Mtu masikini anayetafuta kuitoa hatakiwi kuona zana za kazi zimetupwa pembeni ya barabara na kusema "hizi zana za kqzi hqzina umuhimu, mbona Bakhressa alitoboa bila kutumia zana hizi?"

Hiyo non-NATO military ally status imempa Ruto fursa ya kupiga US dollar million 300, katika deal moja tu, utaidogoshaje?
Hiyo US$ 300 mln ni kwa ajili ya peacekeeping kule Haiti inahusianaje na maisha ya Mkenya pale Kenya?
 
Basi hujaelewa mada ya uzi.

Sentensi ya kwanza kabisa katika uzi huu inauliza hivi.

"Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?"
Kwa hiyo kufanyiwa state visit ni kipaumbele? Mbona mna hoja hazina mashiko. Bado mna akili za kitumwa

Maraisi wa mataifa mangapi hawajafanyiwa state visit hapo Marekani yamepungukiwa nini?

Mimi sioni mantiki ya huu ushindani mlioleta
 
Mbona Nyerere alishawahi kupokelewa hivyo na nyimbo za taifa la Marekani na Tanzania zikapigwa kipindi John F. Kennedy akiwa raisi wa Marekani

Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)

Vijana wengi wa bongo mna uelewa mdogo sana inapohusu diplomatic issues na geopolitcs. Mnaongozwa sana na mihemko

View attachment 2997720

View attachment 2997723
Hiki kichwa kulia noma.
 
Kama kuna jambo la kipumbavu na la kijinga alilofanya huyu rais wa nchi jirani ni la kujipeleka kwa usa mzima mzima. Yaan kwa watu wenye akili mgando na wenye akili kisoda ndo wanaona kafanya jambo la kusifiwa, matekani huwa hasaidii nchi masikini, bali huzitumia kwa manufaa yake mwenyewe, once ukiwa huna potential kwake tena anakutema kama mua unavyotemwa ukiisha utamu.
 
Hiyo US$ 300 mln ni kwa ajili ya peacekeeping kule Haiti inahusianaje na maisha ya Mkenya pale Kenya?
Inaingia katika mzunguko wa hela Kenya, watalipwa askari wa Kenya, itaenda kwenye projects za capacity building Kenya, etc

Unafikiri Ruto mjinga atoe askari wake bila kupata kitu?
 
Back
Top Bottom