Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Sio lazima iwe hivyo. Ila lengo la ndoa ni hilo. Bila tendo huwezi ukaita ni ndoa.
Mbona wengi tu wanapata tendo bila ndoa.
Ndoa ni ibada takatifu ngono ni sehemu ya ndoa
 
Sina hata 37 unaiongelea licha 52 so sio mie na mchagga wangu kwao ndio walikuwa wanajitahidi tu kiuchumi yeye alikuwa bado mdogo sana 23 mie 18 so huo utani mpwlekee nyanya ako
 
Mbona wengi tu wanapata tendo bila ndoa.
Ndoa ni ibada takatifu ngono ni sehemu ya ndoa
Unaweza kupata tendo bila ndoa hilo lipo wazi. Wanaofunga ndoa nia yao ni kufanya tendo na huyo mmoja pia kuanzisha familia.
Sasa mtu hasimamishi anaenda kuoa ili iweje kwa mfano? Nani atatimiza haja za mwenzake?
Bila mizagamuano ndoa haipo.
 
Umbea wa kazini mara juzi mtu kasema alikutana na mbaba 55yrs anasema kazi anaweza ila ana mkono wa sweta.

Nikajiuliza kweli nyakati hizi kuna wababa mna mikono ya sweta? Je huwezi kulitoa hata ukiwa na 50s?

Mimi nikajiuliza hivi mwanaumenkama ana govi anawezaje kuvua mbele ya mwanamke? Mmmh hili nalo halivimiliki.

Ninavyo amini kizazi cha babu zetu ambao wengi walisha kufa ndo kilikuwa na govi ila sasa hivi hapana bana ni uzembe.
 
Unaweza kupata tendo bila ndoa hilo lipo wazi. Wanaofunga ndoa nia yao ni kufanya tendo na huyo mmoja pia kuanzisha familia.
Sasa mtu hasimamishi anaenda kuoa ili iweje kwa mfano? Nani atatimiza haja za mwenzake?
Bila mizagamuano ndoa haipo.
Lengo la ndoa ni kujenga familia yenye maadili ya kiMungu.
Mme umuwakulisha Kristo,mke ni msaidizi, familia ni kanisa.
Mme ni kichwa mke ni mwili wote pamoja kuhitimilisha kusudi la Mungu Dunia.
Thus shetani apendi ndoa ana vita nayo kuhakikisha zinavunjika ili kusudi la Mungu lisitimie.
 
Ndoa ni tendo.

Sasa wewe na huyo asiyesimamisha mtakuwa mnafanya biashara gani nyingine?
Labda wale wakujaza minyama na misamaki kwenye frig mke akisema mme wangu vip utasikia wewe hauli? Utazani mwanamke alitoka kwao kuja kula [emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3] kila siku kachoka ha ha ha

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Familia ipi unayoiongelea hapa? Kumbuka mume hasimamishi maana yake hawafanyi tendo watoto watatoka wapi?
Labda kama wameamua kuasili watoto ambao sio wao. Lakini kiuhalisia familia ni baba, mama na watoto halafu hayo mengine hufuata.

Haya mmeamua kuishi hivyo, huyo mke utaruhusu akagongwe nje?
 
kama hudindishi hiyo familia utajengaje?
 
Ngono ni hitaji la hisia na Sio hitaji la mwili,hapa ni ishu ya mind control tu
 
Pole sana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…