Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

alafu nasikia hiyo gari ikipita kwenye matope au maji mengi inajipunguza uzito alafu inaanza kuelea

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Imepitwa na mda hiyo za 2019 zipo barabarani na zimetoka mwezi uliopita
Naomba uniwekee specs zake pia maana nimeendesha range aina zote sijaona kama hiyo yako labda ni special edition hiyo
Hii chini niliendesha ilikuwa ni Autobiography ya 2017 ambayo ina mazagazaga kibao na ni top of the range ila haijafikia ya kwako mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi gari ikifika miaka 10 itaaanza kusumbua mpaka utatamani uitupe!! Maan kila mfumo. Utaanza kuchoka.
 
nimecheka sana, kwamba ukijamba tu ac inawaka!! mh.

kizingiti ni je wangapi wanaimudu kwa uchumi wetu wa tia maji? weka na bei ili. ndoto zeti ziyeyuke vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ile kampuni yetu ya mafuta na gesi vip bado inapokea wawekezaji, ulitukimbia mzee baba kwenye uzi...tupo tayar tunataka tuwekeze...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…