Ukifa leo nani atatoa taarifa zako hapa JF?

Jf umeshakua mtandao mkubwa sana nchini na hata nje ya nchi. Sio rahisi members kufahamiana kwa hizi id zetu japo baadhi wanafahamiana. Na nadhani wale wanaofahamiana ni kile kipindi members wanakutana kufahamiana ama lah ni katika kusaidiana shida/kibiashara au wale ambao wana jina kubwa humu so watu hupenda kifahamiana nao physicaly.

Sasa kuna sisi tusio na rafiki, sio maarufu humu, ni wazee wa kusoma, kulike, comments kwa mbaali, uzi mmoja kwa miaka na ndo tupo wengi sana. Sasa mtu wa hivi akidondoka si rahisi kujua, na anaweza kua ni jirani au rafiki yako kabisa mtaani, lakini huku anaitwa kalunguyeye na mnakadhfiana kwelikweli humu ndani.
So ndo ivo mkuu ni kua si rahisi kujua mtu asiefahamika humu akidondoka.
 
Japo sitapenda ijulikane ila najua taarifa zitaletwa humu tu
 
Mambo yakuleta taarifa wakati umeshakufa hayana maana, leta taarifa ukiwa mgonjwa, jamii ionyeshe ushirikiano kwako kwa kukuhudumia katika kupigania uhai wako
 
Hoja aliyotoa ni ya kitoto na ya kijinga ndio maana tunajibu kwa utani utani.lengo la kutumia ID isiyojulikana na kitotaka kujulikana,kama MTU nia take ni kitaka kunulikana basi atumie Majina yake halisi-simple.
 
Mambo yakuleta taarifa wakati umeshakufa hayana maana, leta taarifa ukiwa mgonjwa, jamii ionyeshe ushirikiano kwako kwa kukuhudumia katika kupigania uhai wako
Bro sio wote wanaouvuta wanaumwa
 
Heheheh mim nikikufa iwe kimya tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sitaki hata rambirambi wakuu
 
Rikiboy...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28] Taarifa zangu naamini kuna mtu atazitoa
 
Bby huu muunganiiko vipii??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na ww ni jina kubwa utakuwa..
usikute nakufahanu humu mijini....!!?
lkn ndio sijui kama Mzigua? aka Mmakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…