Ukifa leo nani atatoa taarifa zako hapa JF?

Nilitamani ww ndio ungekuwa unatoa taarifa zangu hapa jf lkn[emoji30][emoji30][emoji30]........
 
Binafsi wengi watapata taarifa zangu kupitia akaunti yangu ya facebook na instagram.
Atakayewahi kuweka taarifa wa kwanza ndo huyo huyo.
 
Nitalia sana nikisikia kipenzi kavuta na kuaga dunia. Na sijui taarifa za kuburudisha kutoka kwa Yanga Sc tutazipata wapi??
 
Ukweli huu
 
Ila kwakweli kuna wadau wanakera sana humu.
Wanashindwa hata kujizuia wanaanza kuropoka wajuavyo.
 
Naaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…