Mjue hamjapendanaPamoja nao hata wazee wetu wa zamani na wa sasa ila walioko huko vijijini ndio mfumo wa maisha yao ulivyo, ila sisi vijana wa bongo kulala na mwenzi mmekumbatiana usiku kuchwa , mchana kutwa mna bebisha kubusiana kushikana shikana baada ya mwaka mnakinaina nakuchokana kinachoendelea hapo ni kukerana na kuachana moja kwa moja.
Kuna watu wanalala vibaya unaweza amka huna meno yote ya mbele na ukisema wanakuwa wakaliKuna mzungu wa nne nao pia ni ulalaji pendwa kwa wana ndoa.
Nyie mnazaana kama sungura halafu mnaomba misaada msaidiwe kulea.Utajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.
Hao wakina malkia wenyewe possible ni wanavunga tuu, camera zikitolewa wanalala pamoja wanakulana
Maigizo matupu na kuendekeza upwiru bila kutumia akili.Pamoja nao hata wazee wetu wa zamani na wa sasa ila walioko huko vijijini ndio mfumo wa maisha yao ulivyo, ila sisi vijana wa bongo kulala na mwenzi mmekumbatiana usiku kuchwa , mchana kutwa mna bebisha kubusiana kushikana shikana baada ya mwaka mnakinaina nakuchokana kinachoendelea hapo ni kukerana na kuachana moja kwa moja.
mimi huwa napenda kufanya vitu ambavyo havifanywi na wengiUtajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.
Hao wakina malkia wenyewe possible ni wanavunga tuu, camera zikitolewa wanalala pamoja wanakula
Hayo mambo sio yakuiga kabisaaa
Lala na mkeo, mpelekeee Moto kilasiku
Tena itaongeza kumissiana....sio kila saa kujambiana tuSioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Uzi uishie hapaIf u can't find true love,work hard,make money,and enjoy your single life,
Nobody has ever died from being single,But many have died for being with wrong partner,
Life is too short to be wasting your time with the wrong person.
Mtani acha kabisa haya mambo. ππSemaa kwelii mtanii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani nimesema ni mimi jirani? πWhy mlale mzungu wanne?ΒΏ
Walikuwa na akili aisee!kuna muda binadamu unahitaji space,unafika kitandani mtu kachanua miguu kitanda kizima uanze kumwambia sogea basi aaaah!mara ajivutie shuka yote peke yake ukistuka usiku mwili wa baridiii kumbe umelala bila shuka masaa matanoWazee wa zamani walikuwa wanalala room tofauti au vitanda tofauti. Kuna kitanda cha baba hiko special tu hakilaliwi na mtu isipokuwa mama mtu tu akihitajika ndio anajumuika na mshua.
Yanakuwa ni maisha fulani amazing sana, unapata muda mzuri wa kutafakari na kuwa na utulivu.huwa naangalia movie za wazungu naona mara nyingi wanalala kila mtu kwake ukimiss mwenzako unaenda kulala kwake ila baada ya hapo kila mtu ana lala kwake
Hii mimi binafsi imenisaidia sana , mnaweza kwenda hata mwaka bila kupishana kauli.nakuunga mkono asilimia 100%
sometimes mtu una stress mkeo anakusemesha kitandani unamkaushia anadhani umenuna
na yeye unarudi kesho yake kutoka kazini naye anakuvimbia wiki zima naona ndio maana watu wanasema ndoa ngumu ila
kiukweli ukiishi katika code kama hizi naona kama kuna kiasi uanaweza solve vimeo kibao
Pole..Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
Past participle tenseHata hizo siku mbili au Moja nani alikuruhusu? Uzinzi tuu. ππ
Si unamuamsha tuMoja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
Huu uzi mbona umejaa wazinzi watupu? Kuna nini? π€£π€£π€£Walikuwa na akili aisee!kuna muda binadamu unahitaji space,unafika kitandani mtu kachanua miguu kitanda kizima uanze kumwambia sogea basi aaaah!mara ajivutie shuka yote peke yake ukistuka usiku mwili wa baridiii kumbe umelala bila shuka masaa matano
SanaTena itaongeza kumissiana....sio kila saa kujambiana tu