Ukifika miaka 30 unaweza kuwapata wanawake wengi lakini huna muda nao sana kama ilivyokuwa kabla ya 30

Wengine hiyo Hali ilitukuta kabla hatujafikisha miaka 25
 
MToa mada unalosema ni sahihi kbsa hasa ukishakuw na mambo haya matatu

Pesa ya kiasi +
Familia yako na nyumba yako
Usafiri wako (Gari)

Aseee ni wengi kinyama na unakosa ata muda wa kulala nao wote wengine wanakuw pending tuu hata 6month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…