Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,942
Dah aisee basi wana pua kali za kunusa palipo na chakula kizuri, nimenyoosha mikono juu wanawake hawa😀Hakuna kiumbe mwepesi kugundua hali yako kimaisha kama hizi pisi.
Usipokuwa na kitu hata ukisalimia anaweza asiitike.
Na ukiwa na dalili ya kufanikiwa utashangaa wanapishana kwako kama vile kipindi cha mbwa kupandana ilakujua wamejuaje🤣🤣🤣