Ukifika miaka 30 unaweza kuwapata wanawake wengi lakini huna muda nao sana kama ilivyokuwa kabla ya 30

Basi acha na Mimi nifike huko kwenye 30's nipate experience then nitakuja kutoa majibu yangu.

Kwa Sasa acha niendelee kusoma comments.
 
Sie tuko vice versa na wao. Kadri umri unavyosogea mwanaume value inaongezeka yeye inapungua.
Mfano mkiingia first year University anatongozwa mpaka na lecturers. Na first year wenzake wanamataka sema anawaona Kama Ni watoto. Sasa kadrii muda unavyozidi kwenda akifika fourth/fifth year wale wa chini yake hawamtongozi Bali Ni wale tu alio nao na muda huo wewe unaweza tongoza mpaka fomu wani kumbuka hata primary usipokuwa na aibu. Na ukianza kazi mkasogea mpaka 50s mpaka mwanae utamuimbisha sema Sasa yeye fursa kwake inapungua.
 
Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji mwanamke hupindishi pindishi unanyooka straight na kwa bahati nzuri ni kama muujiza waanawake wana kaheshima flani kwa wanaume wenye sifa za utu uzima, tofauti tu ni kwamba hii nguvu utayokuwa nayo hutaitumia kupita kiasi kwenye kuzinyaka pisi, hali yako itakuwa kama mtu ambae anapenda nyama choma lakini hana uwezo wa kulipia, siku akiweza kuinunua ama kupewa ofa ataishughulikia haswa na hata kuharibu ratiba zake, atatafuna mpaka mifupa kukomoa 🙂 🙂 lakini ni mtu huyu huyu akienda sehemu ambayo kuna nyama za kutosha basi atazila kistarabau kwa ratiba yake, wala hana pupa wala mambo a kukomoa.

ukifika 30 pisi unaweza kuzipata pisi kirahisi Ila akili inawaza mambo mengine ya kimkakati zaidi.... akili inawaza zaidi kuyafikia ndoto zako kimaisha, unawaza zaidi malengo na misimamo, akili inaweza maendeleo......

hata ikitokea umeipata pisi kali na unaenda kuichakata, unapiga mshindo wako moja au miwili kazi imeisha, iweje starehe iwe kama mazoezi ya jkt ten kwa mtu unaemhonga ?? 🙂 🙂

Kunakua kuna tabia zinaanza kupotea, mambo ya kujisifu una madem wengi yanabaki kivyako private, kutangaza umeila pisi kali ili usifiwe nako unaanza kuweka iwe siri yako tu, kuhonga nako unaanza kuchukulia kama kuhudumia na sio malipo kweajili ya kupewa tundu, n.k

Ukubwa dawa, kuwa mkubwa uyaone
Well said....
 
Hii ni kweli 100% nilihisi ni mimi tu kumbe ndivyo mambo yalivyo. asante mtoa uzi. Nilikuja bongo mwezi wa tano dah kuna pisi kali ilijileta sijui alinijuaje juaje kuwa sikai bongo niliichakata bila kutumia nguvu kabisa halafu hata sikuwa na mpango nayo ilitokea tu but nimeshai-discard nakimbizana na visions za maisha sipendi usumbufu usumbufu.🙂🙂
 
Hii ni kweli 100% nilihisi ni mimi tu kumbe ndivyo mambo yalivyo. asante mtoa uzi. Nilikuja bongo mwezi wa tano dah kuna pisi kali ilijileta sijui alinijuaje juaje kuwa sikai bongo niliichakata bila kutumia nguvu kabisa halafu hata sikuwa na mpango nayo ilitokea tu but nimeshai-discard nakimbizana na visions tu.
Hakuna kiumbe mwepesi kugundua hali yako kimaisha kama hizi pisi.
Usipokuwa na kitu hata ukisalimia anaweza asiitike.
Na ukiwa na dalili ya kufanikiwa utashangaa wanapishana kwako kama vile kipindi cha mbwa kupandana ilakujua wamejuaje🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom