Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Kwamba wanajileta wenyewe hutongoz
Na vp mwanamke akifika umri gan
Na vp mwanamke akifika umri gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Sasha ni mwanao ama ni mtoto wa huyo demu wako?. Sijui ikiwa ninabashili kwa mtu ninae mjua.Mimi tangu nimeoa nishachepuka sana lakini kiukweli sijapata duu kama mama sasha, ametisha sana huyu mwanamke
Ni mtoto wetu mkuu, Mimi na mama sashaHuyu Sasha ni mwanao ama ni mtoto wa huyo demu wako?. Sijui ikiwa ninabashili kwa mtu ninae mjua.
kule nipo likizo hadi mnimithiiiiiii thanaaaa!!😘
Well said....Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji mwanamke hupindishi pindishi unanyooka straight na kwa bahati nzuri ni kama muujiza waanawake wana kaheshima flani kwa wanaume wenye sifa za utu uzima, tofauti tu ni kwamba hii nguvu utayokuwa nayo hutaitumia kupita kiasi kwenye kuzinyaka pisi, hali yako itakuwa kama mtu ambae anapenda nyama choma lakini hana uwezo wa kulipia, siku akiweza kuinunua ama kupewa ofa ataishughulikia haswa na hata kuharibu ratiba zake, atatafuna mpaka mifupa kukomoa 🙂 🙂 lakini ni mtu huyu huyu akienda sehemu ambayo kuna nyama za kutosha basi atazila kistarabau kwa ratiba yake, wala hana pupa wala mambo a kukomoa.
ukifika 30 pisi unaweza kuzipata pisi kirahisi Ila akili inawaza mambo mengine ya kimkakati zaidi.... akili inawaza zaidi kuyafikia ndoto zako kimaisha, unawaza zaidi malengo na misimamo, akili inaweza maendeleo......
hata ikitokea umeipata pisi kali na unaenda kuichakata, unapiga mshindo wako moja au miwili kazi imeisha, iweje starehe iwe kama mazoezi ya jkt ten kwa mtu unaemhonga ?? 🙂 🙂
Kunakua kuna tabia zinaanza kupotea, mambo ya kujisifu una madem wengi yanabaki kivyako private, kutangaza umeila pisi kali ili usifiwe nako unaanza kuweka iwe siri yako tu, kuhonga nako unaanza kuchukulia kama kuhudumia na sio malipo kweajili ya kupewa tundu, n.k
Ukubwa dawa, kuwa mkubwa uyaone
Hii ni kweli 100% nilihisi ni mimi tu kumbe ndivyo mambo yalivyo. asante mtoa uzi. Nilikuja bongo mwezi wa tano dah kuna pisi kali ilijileta sijui alinijuaje juaje kuwa sikai bongo niliichakata bila kutumia nguvu kabisa halafu hata sikuwa na mpango nayo ilitokea tu but nimeshai-discard nakimbizana na visions za maisha sipendi usumbufu usumbufu.🙂🙂Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji mwanamke hupindishi pindishi unanyooka straight na kwa bahati nzuri ni kama muujiza waanawake wana kaheshima flani kwa wanaume wenye sifa za utu uzima, tofauti tu ni kwamba hii nguvu utayokuwa nayo hutaitumia kupita kiasi kwenye kuzinyaka pisi, hali yako itakuwa kama mtu ambae anapenda nyama choma lakini hana uwezo wa kulipia, siku akiweza kuinunua ama kupewa ofa ataishughulikia haswa na hata kuharibu ratiba zake, atatafuna mpaka mifupa kukomoa 🙂 🙂 lakini ni mtu huyu huyu akienda sehemu ambayo kuna nyama za kutosha basi atazila kistarabau kwa ratiba yake, wala hana pupa wala mambo a kukomoa.
ukifika 30 pisi unaweza kuzipata pisi kirahisi Ila akili inawaza mambo mengine ya kimkakati zaidi.... akili inawaza zaidi kuyafikia ndoto zako kimaisha, unawaza zaidi malengo na misimamo, akili inaweza maendeleo......
hata ikitokea umeipata pisi kali na unaenda kuichakata, unapiga mshindo wako moja au miwili kazi imeisha, iweje starehe iwe kama mazoezi ya jkt ten kwa mtu unaemhonga ?? 🙂 🙂
Kunakua kuna tabia zinaanza kupotea, mambo ya kujisifu una madem wengi yanabaki kivyako private, kutangaza umeila pisi kali ili usifiwe nako unaanza kuweka iwe siri yako tu, kuhonga nako unaanza kuchukulia kama kuhudumia na sio malipo kweajili ya kupewa tundu, n.k
Ukubwa dawa, kuwa mkubwa uyaone
Ni ubatili na kujilisha upepo tu.Kwahiyo sahivi dodo zinamiminika tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Tutakurudisha tu ata kwa nguvu [emoji23][emoji23][emoji23]kule nipo likizo hadi mnimithiiiiiii thanaaaa!![emoji8]
Hakuna kiumbe mwepesi kugundua hali yako kimaisha kama hizi pisi.Hii ni kweli 100% nilihisi ni mimi tu kumbe ndivyo mambo yalivyo. asante mtoa uzi. Nilikuja bongo mwezi wa tano dah kuna pisi kali ilijileta sijui alinijuaje juaje kuwa sikai bongo niliichakata bila kutumia nguvu kabisa halafu hata sikuwa na mpango nayo ilitokea tu but nimeshai-discard nakimbizana na visions tu.
Thijiiiiiiiiiii hata kwa brudodhaaaa!! !! Mnimithi mithiii kwanzaaa!! Ukienda wasalimie thanaaa watu wangu wanguvuuu✌️✌️✌️!!Tutakurudisha tu ata kwa nguvu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Mwamba anatushika masikio[emoji23][emoji23]Ni ubatili na kujilisha upepo tu.
Huwezi kushindana na hiyo ngozi kamwe.
Siku zote mwanaume ni looser na mwanamke ni mshindi.
Muulize Evelyn Salt atakupa ukweli[emoji28]