Umri 30 una maajabu yake, vile
Vitu kama hizi pisi ukifika 30, unakuwa na mamlaka makubwa tofauti na zamani ya kuweza kuzipata lakini unaweza kupotezea tu ufanye mambo mengine.
Hata yale mambo ya kujisifu una madem wengi, kutangaza umeila pisi kali ili usifiwe, kuhonga, n.k haya mambo yanapungua sana na hata muda wa kuyafikiria na kuyawekea umakini yanapungua sana.
Ukubwa dawa, kuwa mkubwa uyaone, hii ndio miaka ambayo wengi akili zinatulia huanza kuweka umakini zaidi kwenye shughuli za maendeieo na kupunguza tamaa walizokuwa nazo