Ukifika miaka 30 unaweza kuwapata wanawake wengi lakini huna muda nao sana kama ilivyokuwa kabla ya 30

Baada ya kuoa / kuolewa ndo unaanza kupata wengi wenye sifa ambao ukuwapata wakati unatafuta
Mimi tangu nimeoa nishachepuka sana lakini kiukweli sijapata duu kama mama sasha, ametisha sana huyu mwanamke
 
Tusiache kula pisi wakuu tusizionee huruma hata kidogo hata kama una miaka 90 ngoma ikistand weka toa pita hivi

Unafikiri kwa nini nasisitiza
Wanamke sio viumbe hai wana roho mbaya sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sibishi hata nukta. Huu ni ukweli mtupu alafu ndio umri niliopo
 
Mimi niliambiwa kuwa nisipotongoza chuo nitatongozwa na warembo[emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]zipo ila kwa wenye pesa
 
uko sawa.
 
malengo gan unayasemea? Namilik frem mbili kariakoo, range rover moja na harrier, nina nyumba nne zna wapangaji, na nafanya kazi ktengo pale TPA.
Mkuu, hivi ulifanikisha kupata kazi kweli na maisha yako yalivyokuwa magumu kiasi kile? [emoji848][emoji23][emoji23] Naona content ya uzi ule imefutwa, umeacha dot!

Miaka miwili ushapata pesa ya kujenga majumba, kupangisha frem kariakoo, kusafiri Dubai[emoji23]

Ukiwa muongo, uwe na kumbukumbu
Jorge WIP Mwizukulu mgikuru
 
Acha watu wajifariji tu
 
Tusiache kula pisi wakuu tusizionee huruma hata kidogo hata kama una miaka 90 ngoma ikistand weka toa pita hivi

Unafikiri kwa nini nasisitiza
Wanamke sio viumbe hai wana roho mbaya sana
Haya ndo maneno sasa

Miaka 30+ ndo unazila vizuri kwa sababu hata kipato kimeongezeka
 
Aaah ni yeye Eliclassic 🀣
Kazi ulipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…