Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

Itumie kuununua upendo[emoji16][emoji16]


Vitu vya Mungu havinuliwi Mkuu.
1. Upendo
2. Akili
3 Imani
4. Uzuri n.k.

Vitu vinavyonunuliwa
1. Mapenzi
2. Elimu
3. Dini
4. Urembo.

Usichanganye Desa Bibie.
Pesa hainunui Upendo labda mapenzi.
Upendo unadumu Mapenzi hayadumu.
Akili inadumu Elimu haidumu
Uzuri unadamu Urembo haudumu.
 
Shida wadada wa kibongo hawapo tayari kushikamana pale nyakati zikiwa hazipo kwa faida yao.

Hali ikiwa tete binti anaanza vituko badala ya kuonyesha kujali which i find it very simple to do.

But ukishaanza kuingiza senti mbili tatu hata akukute umelala na mdogo wake atajiliza na mtakorofishana ila ataweka mkao wa kurudi ukiweka nae mazungumzo.

Hii huwa inanikata san stimu aisee maana inakuwa ni kama watu wanakuja kutafuta pesa kwenye mahusiano na sio kupata life companion.
 
Wacha bwana!!!
 
Hivyo hivyo lkn umeelewa
 

Wanawake WA hivyo wengi wao hawajakupenda.
Mimi ninaushahidi wa wanawake ambao mabwana zao wapo dhoofu lakini wao ndio wanafanya kila jitihada kuweka mambo Sawa.

Muhimu mwanaume naye aonyeshe kupambana sio demu anakusaidia alafu ndio unabweteka bwetee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…