Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Wewe kadanganye nyumbu wenzio
Kilimanjaro pori ulikute wapi? Labda liwe eneo la serikali
Maeneo yote Yameendelezwa
Kilimanjaro ardhi haikai bure,usidhani ni maporini kama hko kwenu meatu
Kuanzia hatua chache kupita buiko kuelekea moshi huku njiani kuna maeneo mengi yapo empty na ni jangwa hapavutii kuishi
 
Nimetolea mfano same
Ni Sawa Lkn ujue same ni asilimia ndogo mno ya population ktk Kilimanjaro
NENDA uchagan kwenye population kubwa almost 80% ya Kilimanjaro ni uchagani
Uchagan yote makazi bora ni 90% huku huduma za maji na umeme Kila nÿumba ni kwa wastani WA 95%
 
Kuanzia hatua chache kupita buiko kuelekea moshi huku njiani kuna maeneo mengi yapo empty na ni jangwa hapavutii kuishi
Yale ni maeneo ya serikali sio ya watu binafsi mkuu
Tembelea vijijin uchagani usiangalie pembeni ya l'ami[emoji3][emoji3][emoji3]
NENDA machame,rombo, mwika,kilema,marangu,NK alafu urudi hapa
 
ukisema moshi unakosea Moshi na pale mjini tu sema kilimanjaro vijijini
 
umeshafika marekani? marekani kuna masikini wengi kama tz? kiwango cha watu wenye uhakika na milo mitatu marekani utalinganisha na hapa?
Huo ni mfano,Sawa n'a Kilimanjaro maskini WA Kilimanjaro huwezi mfananisha na WA kaliua ambaye hâta maji ya kunywa ni. Shida
Pia idadi ya maskini Kilimanjaro ni 10% kwa mujibu WA NBS
 
Mtoto wa kichaga ni borned entrepreneur kwa mujibu wa taarifa za utafiti wa kisayansi.


Ndiyo maana hata ukimchukua Mtoto Mdogo toka Rombo pale ukamuweka Dar dukani hawezi kutia short hata senti moja [emoji108]

Hawahadaiki na mademu kwa kuacha kudai chenji au kugawa chochote bure [emoji108]

Wanajua kuwa serious na kazi.

Sasa weka mswahili dukani uone!
 
Once they are borned they are Enterprenurs.

Utafiti hupingwa kwa tafiti.

Unaweza kwenda kuuliza Prof. Mbura pale UDBS Kwa maelezo zaidi.
 
Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa hawa jamaa badala ya kuwahusudu na kuwachukia maana haisaidii,

Wa moja havai mbili [emoji108]

Akilazimisha inashika miguuni na kubaki moja!
 
Ulikua na basha wa kichaga akakutelekeza nin[emoji2] manake sio kwa pobu hili
 
Mimi ukiniuliza mambo yanayowafanya hawa jamaa kuwa na afadhali kuliko maeneo mengine ni kama ifuatavyo:

1. Kutokuwepo Kwa Uchawi miongoni mwao
Na hivyo kutoangushana ktk kutafuta kufanikiwa.

2. Kufanya kazi Kwa bidii sana.

Hizo nguzo 2 mimi naona zimewasaidia sana.


Uchagani alfajiri wameanka , ukitaka kifungua kinywa unapata.

Nenda mikoa mingine wanalala weee hakuna hatakujiongeza kwa kufikiri na kutenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…