Unaonaje wewe ndo uwe maskini katika hii dunia πππUmesema Mungu hayupo ndiyo maana huamini maombi yanasaidia
Ukweli ni kuwa maombi yanasaidia sana sana
Ukweli mwingine mchungu ni kwamba hata iweje kamwe wote hatuwezi kuwa matajiri, ni Lazima maskini wawepo ili kupata working class na balance
Sawa mkuu ila AMIN MUNGU YUPO Kila kilichopo ni product ya ALMIGHTY GODNi hadithi ya kutungwa.
Upo sahihi mkuu, ingawa umeongea kitajiri zaidi, maana matajiri niliokutana nao, maneno haya haya ndo huzungumza sana,Njia ya mafanikio ni: Kazi kwa bidii na maarifa, nidhamu ya matumizi na malengo sahihi. Pia kitu kama bahati kinahusika.
Wengi tunafeli hapo kwenye malengo sahihiNjia ya mafanikio ni: Kazi kwa bidii na maarifa, nidhamu ya matumizi na malengo sahihi. Pia kitu kama bahati kinahusika.
Wamesha Anza kumiminika Kwa wingi mkuu,Wa tag mkuu, haiwezekani wale maisha peke yao.. Tunahitaji njia za mafanikio ya juu zaidi.
75% kwa 100%, Kweli mkuu unajibana sana, kwa hiyo tuseme hii ndo Siri ya utajiri yenyewe sasa,, maana siyo poa.Ni mwanzo mkuu ila huko mbeleni nitaongeza percent, kuna maisha nayataka sana bila kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kutokuweka akiba itabaki kuwa ndoto tu.
Kuna kitabu ninacho cha riwaya inayoitwa the godfather,ukifungua ukurasa wa kwanza unakutana na nukuu inasema 'in every great fortune there is crime'. Kwa maana wakati mwingine utajiri unaweza tokana na uhalifu uliofanyika vyema pasipo kugundulika.
Hapa nimekubali mkuu, na ndo maana hawa ma dosi hawataki kutoa siri za utajiri namna walivyo upata.in every great fortune there is crime'.
Nyota yangu haisemi hivyo, kwa mjibu wa Nyota yangu mimi ni mtu wa pili Kati ya wanaotakiwa kuwa matajiriUnaonaje wewe ndo uwe maskini katika hii dunia πππ
Kilimo, real estate business NkKupata mtaji kwa tukumia ardhi unafanyaje mkuu,,?
Sina namna mkuu yani nikifanya kazi nikalipwa cha kwanza ni kuweka pembeni hela ya akiba.75% kwa 100%, Kweli mkuu unajibana sana, kwa hiyo tuseme hii ndo Siri ya utajiri yenyewe sasa,, maana siyo poa.
Yap hapo jazia.
Lazima uwe na maelekezo na connection sahihi ya kuweka hicho ulichokikusanya kizae exponentially.
ππ, shida ndo ipo hapa... Maskini tulio Wengi hii code ndo tumeahindwa kuing'amua.Lazima uwe na maelekezo na connection sahihi
Bahati nasibu huwa ipo ndiyo , lakini chazo lazima kiwepo kuwa ulifanya vile then maisha yakanyooka milele.Kufanikiwa ni kama bahati nasibu. Ni ngumu mtu kufahamu alipitapita wapi hadi kufanikiwa. Kimsingi kufanikiwa kuna uhusiano mkubwa na matumizi ya intelligence na sio smartness.
So ukikaa na tu aliyefanikiwa ataweza kukupa hints za namna fulani alifanya ila hataweza kukupa njia kwa 100%.
Hawezi kutkupa njia kwa 100% kwa sababu hataki utoboe kama yeye, au labda alifanya ushajaa fulani anaogopa usiujue.So ukikaa na tu aliyefanikiwa ataweza kukupa hints za namna fulani alifanya ila hataweza kukupa njia kwa 100%.
Naona umeongea kidini zaidi mkuu, utajiri na dini haviendani kabisa, labda uchague kimoja wapo, maana sijawahi kuona mtu anaye support dini akawa Tajiri.Nyota yangu haisemi hivyo, kwa mjibu wa Nyota yangu mimi ni mtu wa pili Kati ya wanaotakiwa kuwa matajiri
Ila Nyota yangu inasisitiza nisijihangaishe kupata utajiri kwani sitaupata na nitaishia kukumbana na mitihani mingi isiyoelezeka
Natakiwa nitulie tu utajiri utakuwepo popote nitakapokuwa au utanifuata wenyewe
Na wewe peleleza kuhusu Nyota yako uone kama success is in your destiny or not
Upo sahihi mkuu, basi yawezekana huwa sibling wanao kutegemea sana, ila utakuta una madogo wa nne wote wapo wanakuangalia, ku-save inakuwa changamoto sana.Sina namna mkuu yani nikifanya kazi nikalipwa cha kwanza ni kuweka pembeni hela ya akiba.
Unaweza ukaona kuweka akiba hata kiwango kidogo sio sahihi lakini weka utaratibu huo baada ya miaka utakuwa na kitu ambacho kwa namna ya kawaida ni ngumu hasa kwa sisi wa kula kwa jasho.