Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

Umesema Mungu hayupo ndiyo maana huamini maombi yanasaidia

Ukweli ni kuwa maombi yanasaidia sana sana

Ukweli mwingine mchungu ni kwamba hata iweje kamwe wote hatuwezi kuwa matajiri, ni Lazima maskini wawepo ili kupata working class na balance
Unaonaje wewe ndo uwe maskini katika hii dunia 😄😄😄
 
Njia ya mafanikio ni: Kazi kwa bidii na maarifa, nidhamu ya matumizi na malengo sahihi. Pia kitu kama bahati kinahusika.
Upo sahihi mkuu, ingawa umeongea kitajiri zaidi, maana matajiri niliokutana nao, maneno haya haya ndo huzungumza sana,
 
Kufanikiwa ni kama bahati nasibu. Ni ngumu mtu kufahamu alipitapita wapi hadi kufanikiwa. Kimsingi kufanikiwa kuna uhusiano mkubwa na matumizi ya intelligence na sio smartness.

So ukikaa na tu aliyefanikiwa ataweza kukupa hints za namna fulani alifanya ila hataweza kukupa njia kwa 100%.
 
Kuna kitabu ninacho cha riwaya inayoitwa the godfather,ukifungua ukurasa wa kwanza unakutana na nukuu inasema 'in every great fortune there is crime'. Kwa maana wakati mwingine utajiri unaweza tokana na uhalifu uliofanyika vyema pasipo kugundulika.
in every great fortune there is crime'.
Hapa nimekubali mkuu, na ndo maana hawa ma dosi hawataki kutoa siri za utajiri namna walivyo upata.
 
Unaonaje wewe ndo uwe maskini katika hii dunia 😄😄😄
Nyota yangu haisemi hivyo, kwa mjibu wa Nyota yangu mimi ni mtu wa pili Kati ya wanaotakiwa kuwa matajiri

Ila Nyota yangu inasisitiza nisijihangaishe kupata utajiri kwani sitaupata na nitaishia kukumbana na mitihani mingi isiyoelezeka

Natakiwa nitulie tu utajiri utakuwepo popote nitakapokuwa au utanifuata wenyewe

Na wewe peleleza kuhusu Nyota yako uone kama success is in your destiny or not
 
75% kwa 100%, Kweli mkuu unajibana sana, kwa hiyo tuseme hii ndo Siri ya utajiri yenyewe sasa,, maana siyo poa.
Sina namna mkuu yani nikifanya kazi nikalipwa cha kwanza ni kuweka pembeni hela ya akiba.

Unaweza ukaona kuweka akiba hata kiwango kidogo sio sahihi lakini weka utaratibu huo baada ya miaka utakuwa na kitu ambacho kwa namna ya kawaida ni ngumu hasa kwa sisi wa kula kwa jasho.
 
Kufanikiwa ni kama bahati nasibu. Ni ngumu mtu kufahamu alipitapita wapi hadi kufanikiwa. Kimsingi kufanikiwa kuna uhusiano mkubwa na matumizi ya intelligence na sio smartness.

So ukikaa na tu aliyefanikiwa ataweza kukupa hints za namna fulani alifanya ila hataweza kukupa njia kwa 100%.
Bahati nasibu huwa ipo ndiyo , lakini chazo lazima kiwepo kuwa ulifanya vile then maisha yakanyooka milele.

So ukikaa na tu aliyefanikiwa ataweza kukupa hints za namna fulani alifanya ila hataweza kukupa njia kwa 100%.
Hawezi kutkupa njia kwa 100% kwa sababu hataki utoboe kama yeye, au labda alifanya ushajaa fulani anaogopa usiujue.
 
Nyota yangu haisemi hivyo, kwa mjibu wa Nyota yangu mimi ni mtu wa pili Kati ya wanaotakiwa kuwa matajiri

Ila Nyota yangu inasisitiza nisijihangaishe kupata utajiri kwani sitaupata na nitaishia kukumbana na mitihani mingi isiyoelezeka

Natakiwa nitulie tu utajiri utakuwepo popote nitakapokuwa au utanifuata wenyewe

Na wewe peleleza kuhusu Nyota yako uone kama success is in your destiny or not
Naona umeongea kidini zaidi mkuu, utajiri na dini haviendani kabisa, labda uchague kimoja wapo, maana sijawahi kuona mtu anaye support dini akawa Tajiri.
 
Sina namna mkuu yani nikifanya kazi nikalipwa cha kwanza ni kuweka pembeni hela ya akiba.

Unaweza ukaona kuweka akiba hata kiwango kidogo sio sahihi lakini weka utaratibu huo baada ya miaka utakuwa na kitu ambacho kwa namna ya kawaida ni ngumu hasa kwa sisi wa kula kwa jasho.
Upo sahihi mkuu, basi yawezekana huwa sibling wanao kutegemea sana, ila utakuta una madogo wa nne wote wapo wanakuangalia, ku-save inakuwa changamoto sana.
 
Back
Top Bottom