Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

Una uhakika gani kuwa nilifeli hesabu? Kwa taarifa yako hesabu hazikuwahi kunishinda na Advance nilisoma PURE MATHEMATICS kama mbadala wa BAM, siku nyingine uwe na adabu mkuu.
Mkuu mbona Pure Mathematics ni kitabu na sio somo au wakuu mi ndio sielewi...Nadhani somo linaitwa Advanced Mathematics
 
Jobless anawahi kuamka akafungulie Kuku ziende kujitafutia halafu yeye anarudi kulala.
 
Haiwezekani muwe na uwezo wa kupitisha daraja baharini alafu mshindwe kujua mfanye ujasiliamali gani
Mkuu mifano yako unayoitoa sio relevant,unatolea mfano projects zilizofanyiwa design na wachina pamoja na waturuki ni kama kulinganisha usingizi na kifo.
 
Mkuu mifano yako unayoitoa sio relevant,unatolea mfano projects zilizofanyiwa design na wachina pamoja na waturuki ni kama kulinganisha usingizi na kifo.
Kwahiyo ninyi wa hapa bongo hamuwezi?
 
Sawa mkuu, basi ngoja sisi wahandisi wa mazingira tuendelee kupanda miti na kuzibua mitaro ya majiji tusikutane na maswaibu ya kuzabuliwa vibao [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo kwenye kupanda miti, kazana unaweza kuja kula parefu Sana kutoka USAID, SNV, USADF etc
 
kama mnasema designing anafanya mchina na mturuki kwahiyo nyinyi mnasomea nini huko chuo? Kumwaga zege au ? Hebu tuelewesheni
 
Elimu ya Bongo ina kiwango cha chini,ukishamaliza chuo itakuhitaji ufanye kazi miaka 20 kwenye kampuni kubwa ili uwe na viwango kama vya Mhandisi Mfugale.
Duh!
Kwahiyo hamna internship?
Kwani mfugale si alisoma hapa hapa au ?
 
TZ hii ya uchumi magumashi unawalaumu wahandisi? Wee acha porojo bana.
 
Subiri ufike mwaka wa3 chuo urudi kuutazama uzi wako huu kama hujaukataa
 
Hujaelewa point yangu, namaanisha mtu mwenye uwezo wa kujua aweke nguzo za aina gani na daraja lenye uzito flani baharini ili magari yaweze kupita ndio anaweza kushindwa kujua afanye biashara gani kweli??
Kila jambo linahitaji maarifa.

Labda uwe umemaanisha kuwa wanaweza kuwa fast learners, which is possible.

Lakini ukisema eti kwa kuwa ni maingneer basi wanaweza kuwa na idea nyingi za biashara utakuwa unajidanganya, na kama ingekuwa hivyo basi wafanya biashara wakubwa wote wangekuwa ni maingneer.
 
we kweli kolo sasa hapo umeelezea fursa anazoweza kuzitumia engineer incase hajaajiriwa au umeelezea kazi za ki engineer zinazofanywa na makampuni ya construction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…