Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

Huyu muhaya kila siku mara ana bastola mara ivi yaani mapanga mawili uweke kweny begi ilo begi au mfuko wa gitaa

Point walikupiga Wacha ulevi maana hata mbio huna
 
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.

Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo. Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Umenikera sana kwani ulitakiwa Ummalize kabisa asiendelee Kupumua tena hadi Kiama.
 
Alooo...
 
Mkuu binafsi nimeipenda hiyo kazi nzuri.
 
Dah tutamkumbuka sana Dr Magufuli. Alisisitiza sana tufanye kazi, kila mtanzania alijitahidi kufanya kazi ili aishi. Ila sasa kila mtu anaona bora apige dili ili aishi. Mama hata kukemea hakuna
 
Nahisi mkoa mzima uko peke yako mkuu,wanaume wengine wa Dar wote nawaona wako ndani wanachungilia madirishani wanasubiria Polisi waje kuwasaidia...
Hili suala la kuchungulia dirishani likisababisha dogo moja akafa hivi hivi huko changanyikeni
 
Daaa!! Bonge la technic!
Vijana wa Tandika, Tandale, Temeke, mpooo!!
Watu wamefumbuliwa macho!
Lakini uwe na ubavu, wakikuzidi nguvu umekwisha!!
 
Sisi mtaani kwetu tumekubaliana tufanye mauaji ya kijana mmoja tutakayemkamata akiiba.Kwani wizi umepamba moto sanaaaa mtaani petu.
 
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.

Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo. Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.

Mura umefanya jambo la maana sana
Nakupongeza, hawa washenzi wanasumbua sana saiv
 
safi sana mkuu na iwe fundisho kwa wasenge wengine mtaani unyama unyama tu kama Russia na NATO.
 
Ipo hivi.

Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.

Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo.

Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Peleka NIDA hivyo vidole kwa fingerprints atajulikana au vipi?
 
Back
Top Bottom