Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

muda mwingne anaweza asiwe kweli bwanawake lakini mtu anapangwa mjini hapa jamani,ukimtafuta mtu ukamwambia 50k hii hapa fanya moja 2 na 3 aahh mtu anaigiza kabisa
Ata akiwa na rafiki tu ama mtu yeyote wanejuana wamewahi kushare situations anazopitia anafanya tu
 
Hy n sawa, lkn vp kama yeye anakupenda lkn ww humpendi.?
Hapo sasa, nakumbuka enzi hizi nikiwa bachela nikapita na single mother mmoja hivi, akaanza kuniganda Kila nikitaka kumwacha ananiganda analia na kuniambia usiniache nimekuzoea huruma ikaniponza, akapata ujauzito akaona ndiyo tiketi ya kumuoa, nikasema huyu hanijui vizuri. Pamoja na kufuatwa na wazazi wake, kaka zake lakini sikuwa tayari kuishi nae
Hy n sawa, lkn vp kama yeye anakupenda lkn ww humpendi.?
 
Mkuu yalinikuta, hadi nilihisi kufa nashukuru mabaalia waliniokoa na wakanifundisha hakuna kuingia mazima, saivi naangalia walioko kwenye mahusiano tu,
 
Mwiba mkali sana 😁
 
Ungedus Kudanja mmbwa ww...Kula kimea halisi.
 
Daahh najaribu kui magine huyo aliyekimbiwa na mkewe halafu kazimia na watu wote wanajua ..sijui aki recover uso wake atauficha wapi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Usela usela kwenye mapenzi haufai
 
Hakika mkuu. Siku hizi wamejaa wale walioko kwa ajili ya kukukomoa. Akilala anawaza aje na gia gani kukuchomoa. Mapenzi ya siku hizi yamekuwa na hasara nyingi kuliko faida kwa wanaume.
πŸ“ŒπŸ“Œ
 
dunia ina zaidi ya watu billion 7 na zaidi ya nusu ni wanawake, mwanamke mmoja tu anatoa roho ya MTU. Bro wako ana matatizo ya afya ya akili si bure!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Haiwezekani mwanaume ampate siku 1 huyo Ni fisi aliyevaa manyoya ya bata
 
True true huwa inaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…