PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hilo wazo katoa PM au nimetoa mm? Au unanifanisha na PM? Naona umetoka kweny msing wa hoja yangu ya viability ya ng'ombe wawili wawili
ok,ok,nikuulize swali hili,ipi bora kufunga ng'ombe wawili wa maziwa,na kushinda kwenye vibanda vya kubeti ni kipi kina manufaa kwa uchumi wa nchi?
 
ok,ok,nikuulize swali hili,ipi bora kufunga ng'ombe wawili wa maziwa,na kushinda kwenye vibanda vya kubeti ni kipi kina manufaa kwa uchumi wa nchi?
Alichokisema ni UTOPIAN yaan hakitekelezeki na kinafelisha uchumi. Duuh unacompare matatizo badala ya kuja na solutions. Tz kuendelea ni ndoto aisee kama unaowategemea mawazo ndo yale na bado kuna watu wanaunga mkono
 
Mstaaf aliyekataa kustaafu
 
Na siasa ndiyo ilivyo
 
Alichokisema ni UTOPIAN yaan hakitekelezeki na kinafelisha uchumi. Duuh unacompare matatizo badala ya kuja na solutions. Tz kuendelea ni ndoto aisee kama unaowategemea mawazo ndo yale na bado kuna watu wanaunga mkono
Tumeishawastukia,hamdanganyi mtu tena,miaka 64 ya uhuru bado tupo hivi mnatudanganya na amani,utadhani hata huko Botswana ambako kuna amani mnatawala ninyi.
Hoja ya kufuga inamtoa mwananchi kwenye umaskini uliopitiliza wa kusaidiwa na TASAF angalau kupata mlo wa siku.
Kiufupi tusio na maslahi kupitia umaskini wa watanzania tumeelewa na tunaunga mkono.
 
Kama ni kwa maslahi ya TAIFA huo upango usukwe tu
 
Watashindaje bila reforms?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…