Hii inadhihirisha namna gani huna akili!! Sasa unafanya comparison kwa mtu mwenye anonymous ID? Wewe na mimi nnayeandika nani ananijua?We ni nani ujilinganishe na Lissu? Nani anakojoa? Hahah na Id fake yako! Lissu ni historical figure kwa nchi kijana we pata supu upunguze umuhimu kwnye cause za watu
Na Nchimbi kasema hakuna kubembelezwa! Ningeshangaa nchi yenye vyama zaidi ya 14 vya siasa mmbembeleze vichaa wawili washiriki uchaguzi? Na huko CDM kweli maelfu waliopo wawasikilize vichaa wawili na malaya mmoja wa Nairobi? He'll NO!
Una upumbavu sana wewe!! Hahahaha kweli wewe ni mtoto anaeamini hii dunia ni ya baba yake mzazi!! Niliwahi sema hapa kama wewe sio Lissu mwenyewe basi utakua na kichaa!!Hata shetani anajua hakuna mwanasiasa msafi nchi hii kama Lissu.
Huu upuuzi wako unaweza kuushawishi ubongo wango tu uliofanya ndaza na Ccm
Kuna watu humu unawafikiria kama watu wenye busara ( maana hatujuami JF). Sasa rafiki unaandika haya na kutufanya tuliokuwa tunakufikiria mtu wa busara to have a negative perception of your ability to think intuitively ,philosophically and rationally!In fact Mbowe kesharudisha yote alopoteza wakati wa JPM kupitia Fedha za Abdul.
Heche hamna namna ambayo ataweza mrejesha mdogo wake.
LISSU Hana namna ya kurejesha mwili wake kabla ya ulemavu ulotokana na Risasi 16.
Hivo LISSU NA HECHE WASOMGE MBELE, WANANCHI TUNAWAELEWA.
G-55 wangekua wakushinda, wangemshinda LISSU wakati wa Uchaguzi.
Kwa Sasa wanajua wameshindwa, wanajaribu tu kuleta vijivurugu ili waonekane.
G 55 wamekataliwa na Mkutano Mkuu, wakakataliwa na Wanachama, na wamekataliwa na Wananchi.
Katishie mapeasant wenzio huko bush. Hela mlizohongwa na ccm mtazitolea kwenye hilo tundu la tope hapo uani. Mlitegemea Mbowe atafia kwenye hicho kiti, basi safari hii mmeukalia.Hahahaha!! Nilikwambia awali muda utaamua. Huu utoto tu unakusumbua lakini kinachokuja mbeleni Lissu atajuta kwa aliyofanya!! Siyo tu atakwama CHADEMA but atalipia ule ushenzi in a hard way... andika chini hiki kitu utakuja kupigia mstari. Hujui unaongea na mtu wa aina gani au una akili za kitoto zile za kuamini bahari inamilikiwa na baba yako.
Moto unakuja hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe!
Huna akili, Hilo bichwa umejaza matopeUtoto unakusumbua ila katika hili Lissu kakalia msumari.
Na Nchimbi kasema hakuna kubembelezwa! Ningeshangaa nchi yenye vyama zaidi ya 14 vya siasa mmbembeleze vichaa wawili washiriki uchaguzi? Na huko CDM kweli maelfu waliopo wawasikilize vichaa wawili na malaya mmoja wa Nairobi? He'll NO!
Waende ili CHADEMA wamwachie nani? Hakuna atakayehama chama maana lissu na huyo malaya CDM sio mali yao!!Sasa si muende kwenye hivyo vyama vingine 14 mkagombee kama mtashinda. Mnapiga kelele ya kugombea huku mnajua CCM hawezi kushinda kwa mazingira haya. Nendeni NCCR au CHAUMMA.
Punguza jazba na g55 yako mwenye akili, Lissu is there to stay kijana na ana consistency ile mbaya yani! Hamna internet warrior anamshughulisha alishasema! Yani jiwe aliteseka hadi akazimika itakua vipost vya jf? Mtateseka sana wachumia tumboHii inadhihirisha namna gani huna akili!! Sasa unafanya comparison kwa mtu mwenye anonymous ID? Wewe na mimi nnayeandika nani ananijua?
Lazima useme mimi ni kichaa maana hoja zangu zinakuumiza sana.Una upumbavu sana wewe!! Hahahaha kweli wewe ni mtoto anaeamini hii dunia ni ya baba yake mzazi!! Niliwahi sema hapa kama wewe sio Lissu mwenyewe basi utakua na kichaa!!
Time will tell. Mrema aliambiwa haya haya, wapambe kama nyinyibwakampoteza.Acheni ujinga. Mpeni Lissu nafasi afanye kazi. Mnaleta viclips wakati wa kampeni ili iweje.
Matope kajaza Lissu. LEMA na HECHE! huwezi kuwa na akili ukaendeshwa na yule mwanaharakati MALAYAHuna akili, Hilo bichwa umejaza matope
Sisi tuliona mapema kwamba CDM inaenda kufa mikononi mwa TAL.
Hakuna wa kwenda popote!! Moto utawaka na kuzimikia CHADEMA!Leo unamwona katibu mkuu wa CCM wa maana na bado unaishambulia CHADEMA. Kama mna nguvu ya kushinda kagombeeni APPT Maendeleo.
Teh teh teh kwa akili hizi za kitoto ptuuuuh!!CHADEMA ilikuwa imekufa Lissu kaifufua.
Na sisi watanzania hatutawapa nafasi kamwe.Kwa kifupi hawa G55 wa CHADEMA ni madalali wa kisiasa. Ni mapandikizi yanayotumia siasa kujinufaisha binafsi.
Ungekuwa na akili usingeokoteza vijiclip kabla ya uchaguzi na kuvileta hapa. Mbowe ameshindwa kihalali, anapaswa kukubali. Akae na ccm waone atawarudishia vipi hela zao alizowadanganya atamshinda Lisu. Kufanya hujuma na genge lake hakumtoi.Kuna watu humu unawafikiria kama watu wenye busara ( maana hatujuami JF). Sasa rafiki unaandika haya na kutufanya tuliokuwa tunakufikiria mtu wa busara to have a negative perception of your ability to think intuitively ,philosophically and rationally!
Lissu hafiki popote na atalipia ufirauni wake in a hard way!Kubalini Lissu amewapiga Chini kwenye uchaguzi Tena Dunia yote ikiangalia. Mwacheni afanye kazi. Mbona Mbowe migogoro ilikuwa mingi tangu enzi za Chacha wangwe, lakini tulimwamini?. Punguza personal feelings kwenye mambo ya taasisi.
Mnakosea, kama wewe ni mmoja wao mnakosea sana. Wengi hatujasoma sayansi ya siasa ila tunaona mnakosea sana.MBOWE HANA NAFASI TENA CHADEMA, HATUJITAJI SIASA ZA KIDALALI.
LISSU SHIKILIA HAPOHAPO
Hiyo ajenda ni yeye aliipenueza KK enzi zile nq research ilifanyika kukaonekana hakuna uwezekano wala mafanikio katika hilo. Lissu na Lema wana pa kula wengine je? Kwa ujumla moto unafukuta chini soon kutakua na mgomo mkubwa KK kuiondoa hiyo ajenda!!