Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 3,126
- 6,104
Time will tell. Mrema aliambiwa haya haya, wapambe kama nyinyibwakampoteza.
Watajuana wenyewe wauwane watafunane juu yao!Hiyo clip ni wakati wa kampeni, ambapo kila Kambi ili rushiana maneno.
Hata ushauri hamtaki tumpe? Chama kina cracks, he has to mend where necessary. Hawa maccm wanahitaji mbinu zote kudeal nao, they're crooked, bila kujipanga hatuwezi kuondoa haya majambazi madarakani.Basi tumpe nafasi Lissu ana miezi miwili tu tangu akabidhiwe chama.
Chama kina mwenyekiti, kwa sasa mbowe ni mwanachama wa kawaida, nongwa ipo wapi?Kila Mwenyekiti Lissu anapokwama mnamlaumu Mbowe! Ahahahahaha!!!
Hahahahaha kumbe econonist ukipata mtu sahihi na tough anaweza kukuleta kwenye 18 ukavua Nguo zote na kubaki katika uhalisia wako!!! Hahahahaha kumbe una kishoia kiasi hiki! Kwahiyo Mimi ni James Mbowe sio 😂😂😂😂😂😂Sawa James Mbowe. Kama Lissu ni kichaa basi wewe ni maiti.
Mabadiliko mpelekee mamakoNo reforms no election. Njoo tulete mabadiliko kamanda.
Alimpiga kwa margin gani? Hili mbona hamtaki lisema? Kwahyo kwa utomvu uliobeba kichwani ndo unaiona ni nguvu ya kuikabili TZ nzima akazuia uchaguzi? Huna tofauti na mtoto anayeamini baba yake ndo mmiliki wa ulimwengu hahahahahahaha!Kama Lissu alimpiga Mbowe na machawa wake hadharani, kwanini ashindwe kuzuia uchaguzi wa kijinga.
Kinachotushangaza ni kwanini watu wa Lissu wamekuwa wakiitetea No Reform, No Election kwa kutumia jina Mbowe. Nasi tunahoji, kwanini Mbowe wakati Mwenyekiti Lissu yupo? Au wameanza kuona umuhimu wa Mbowe?Chama kina mwenyekiti, kwa sasa mbowe ni mwanachama wa kawaida, nongwa ipo wapi?
#Au bado mnautaka Uwenyekiti wake?
Hiyo hiyo mikutano ndo itaenda pasua mbarika just wait you will see!Mkutano Mkuu ukiamua hakuna shida maana si ndio uliopitisha. Shida mpo very personal. Maumivu ya kipigo yanawasumbua Sana.
LISSU Afanye nn?Kuna watu humu unawafikiria kama watu wenye busara ( maana hatujuami JF). Sasa rafiki unaandika haya na kutufanya tuliokuwa tunakufikiria mtu wa busara to have a negative perception of your ability to think intuitively ,philosophically and rationally!
Lissu anaangukia pua you can take it to the bank!Nimecheka vibaya, mwanzo ilikuwa hawezi kumshinda Mbowe, ila sasa ameshinda ndio mnakuja na story za ataanguka. Kama mlikuwa na uwezo huo aliwashindaje?
Mbowe hana mchango wowote Kwa Chama Kwa Sasa .Kinachotushangaza ni kwanini watu wa Lissu wamekuwa wakiitetea No Reform, No Election kwa kutumia jina Mbowe. Nasi tunahoji, kwanini Mbowe wakati Mwenyekiti Lissu yupo? Au wameanza kuona umuhimu wa Mbowe?
Utasubiri Sanaa .Lissu anaangukia pua you can take it to the bank!
We mtoto mnywa visungura tuuuLISSU Afanye nn?
Mbowe kafukuzwa CHAMAN?? Kwann anajitenga na Shughuli za chama?.
Mnataka LISSU akampigie Magoti??.
Hao G 55, wao hawajui MSIMAMO wa chama ulopitishwa na Mkutano Mkuu??.
Achana kuwachokonoa watu
Lissu alimshinda Mbowe kwa kura ngapi?Utasubiri Sanaa .
Kwann hakuangukiw Pia uchaguzin???
Kajinga wewe ,mnabwabwaja eehh, tulieni LISSU apige kaziWe mtoto mnywa visungura tuuu
Mbowe aliamua kukaa kimya
Akapige kazi kwa mama yake hatuwezi mwacha atuharibie chama!! Tutamgawana very soon!Kajinga wewe ,mnabwabwaja eehh, tulieni LISSU apige kazi