Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

Sawa mheshimiwa mtia nia na je vipi kuhusu afya za akili za raia kulipenda Jeshi lao, utapita door to door kupima afya za akili za raia wasiolipenda Jesha lao?
 
Kwa hiyo kila mtu akitaka uhakika afunge safari kwenda kawe?
Kuna wakati inabidi.

Media zote zipo kimya, raia ndo tumechukua jukumu la kusema yanayojjri huko mitaani.

Mnafika mahala kujenga imani unampa google location code enthusiast athibitishe mwenyewe
 
Shida ya raia ni mapuuza , viburi, kupenda mashindano na kupimana uwezo.
Hebu fikiri watu wa Bajaj na Bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…