Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

Na mbunge, Askofu PhD yuko kama hayupo. Askofu asipokemea haya, tena kwa wapiga kura wake, uaskofu wa nii sasa!
Na huko pia ni kwake mtume Mwamposa. Naye yuko kimya anasubiri kukusanya shekeli kwa wagonjwa na may be, majeruhi wa hiyo kadhia
Askofu Chidi ache kujitafunia kondoo wake ahangaike na bodaboda
 
Mwenzangu chaap yan
Maana asijekunibadilikia aliyenipa info.. ukute yuko humu.
Haki ataninyonga mkono 🤣🤣🤣
Bora
Maana wasiwasi ndo akili.

Raia wanapitishwa mekoni huko Kawe.

Serikali ipo kimya na hizi sheria za kuwapatia kinga hao wajamaa wa usalama ni rahisi sana kutumika vibaya.

Sheria isipoheshimiwa kuna kuwa na counterlaw laws za kutosha zinazoitwa KINGA YA KUTOSHTAKIWA
 
Na mbunge, Askofu PhD yuko kama hayupo. Askofu asipokemea haya, tena kwa wapiga kura wake, uaskofu wa nii sasa!
Na huko pia ni kwake mtume Mwamposa. Naye yuko kimya anasubiri kukusanya shekeli kwa wagonjwa na may be, majeruhi wa hiyo kadhia
Jamaa wanawanyuka waumini wao au sio hao bodaboda na Bajaj wasumbufu ni waumini wa Mwamposa na Gwajiboi
 
Bora
Maana wasiwasi ndo akili.

Raia wanapitishwa mekoni huko Kawe.

Serikali ipo kimya na hizi sheria za kuwapatia kinga hao wajamaa wa usalama ni rahisi sana kutumika vibaya.

Sheria isipoheshimiwa kuna kuwa na counterlaw laws za kutosha zinazoitwa KINGA YA KUTOSHTAKIWA
😂😂😂 tulia watu wapapaswe
Ila nacheka huku
 
Haha nataja jina moja tu
Hamna wa kunigusa 🤣🤣🤣
Cha zaidi watakaa na mm mpaka nifatwe
Ila atakaye nifata sasa
Lazima aninyonge mkono
😆😆😆 Haya usisahau kufanya hivyo basi,
 
Mkwara wake ni kwa raia ambao kimsingi hawana hatia.

Kamati ya ulinzi na usalama ipo bize kuchunguza raia wanawaza nini na siyo kuwalinda ama kusimamia haki
Narudia tena na tena. Bila wananchi kuamka kwenye usingizi waliolala fofofo hakuna kitakachobadilika. Tuache mambo ya vyama au dini na tuungane wote. Fikiria: hao wanajeshi walikuwa wanatofautisha mwana CCM au CHADEMA kwenye kipigo? Au muislam na mkristo? Watawala hawana muda wa kufuatilia hayo kwani wanakula starehe. Na pia kwao ni raha kubwa kwa sababu ni njia mojawapo ya kufanya raia waogope dola. Tusitegemee sijui mkuu wa mkoa au mkuu wa kambi. Hawa wote wako wanaishi kwa starehe na familia zao. Hivi wananchi walishindwa kujitetea? Shika MPs watano piga kibereti kama vibaka muone kama watarudia tena huu ujinga.
 
Back
Top Bottom