imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wao ni Jeshi la Wananchi na sio "Jeshi la kupiga Wananchi"Askari wengi aana elimu ndogo sana (darasa la 7). Sasa ukichanganya na mibange wanayovuta, basi wanakuwa hawana tofauti na mbwa mwitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ni Jeshi la Wananchi na sio "Jeshi la kupiga Wananchi"Askari wengi aana elimu ndogo sana (darasa la 7). Sasa ukichanganya na mibange wanayovuta, basi wanakuwa hawana tofauti na mbwa mwitu.
Mantiki naionaNarudia tena na tena. Bila wananchi kuamka kwenye usingizi waliolala fofofo hakuna kitakachobadilika. Tuache mambo ya vyama au dini na tuungane wote. Fikiria: hao wanajeshi walikuwa wanatofautisha mwana CCM au CHADEMA kwenye kipigo? Au muislam na mkristo? Watawala hawana muda wa kufuatilia hayo kwani wanakula starehe. Na pia kwao ni raha kubwa kwa sababu ni njia mojawapo ya kufanya raia waogope dola. Tusitegemee sijui mkuu wa mkoa au mkuu wa kambi. Hawa wote wako wanaishi kwa starehe na familia zao. Hivi wananchi walishindwa kujitetea? Shika MPs watano piga kibereti kama vibaka muone kama watarudia tena huu ujinga.
Ilaaaaaa nyieeHahah hata likitajwa jina la moshi mweupe lazma kwanza jasho litoke kidogo hata yeye akija, akikukta bado mkavu utawaachia msala hao
Nani?Ilaaaaaa nyiee
Sishangai kabisa
Hamshindwi..
Ama nafatwa, nachangamshwa kidogo ndo nabebwa.
Baba angu alishawahi enda kunichoma shule.. kanitandika nyumbani na shule kaenda kunichoma.. nilitandikwaaaa.. nilikubali kutandikwa peke angu, maana ningefumbua mdomo ni class nzima ingewekwa assembly point… kuruti wangeitwa, yan ingekuwa ni sherehe…
Nikaamua kufa kike 🥹🥹
Uzuri ukichapwa huku una hasira fimbo uwa haziumi sana.
Ndo ipo hivyo Umoja, tena nayeye anafurahi sana haha sijui uchawi gani ule unakula akili zetu,Ilaaaaaa nyiee
Sishangai kabisa
Hamshindwi..
Ama nafatwa, nachangamshwa kidogo ndo nabebwa.
Baba angu alishawahi enda kunichoma shule.. kanitandika nyumbani na shule kaenda kunichoma.. nilitandikwaaaa.. nilikubali kutandikwa peke angu, maana ningefumbua mdomo ni class nzima ingewekwa assembly point… kuruti wangeitwa, yan ingekuwa ni sherehe…
Nikaamua kufa kike 🥹🥹
Uzuri ukichapwa huku una hasira fimbo uwa haziumi sana.
Even now nikitaka baba kanisend sitakosa.. ila siko tayari… yan ule moyo sina kabisaaa.Ndo ipo hivyo Umoja, tena nayeye anafurahi sana haha sijui uchawi gani ule unakula akili zetu,
halafu mzee si angekufanyia upite baba kanisend uzurure nchini
we unaongea nini ? hiv unajua kuingia kwny kumi na nane za hawa watu ni mzozo mwingine au unadhani wanakupa story za vijiweniNaona wanaume waoga kama mabinti
Yaan mijitu inamindevu mpaka matakoni ety inaogopa sare za jeshi ashuuuu iwena man
Hao wajeda wanawapiga wamama na wazee wa kawe kama vipi waende kuwapiga madereva boda na bajaji au waende mbagala kwa mandota au Chuga kwa machalii wa araaa au rock city kwa watoto wa wakoma au waende Mara kwa wakurya ili tuone ubavu wa maMP,
Binafs Mimi ni mpole now staki shida na mtu Ila ukinletea ubabe nakubaka tu mpk useme "zombi zombi zombi utaniuaa aah "
Ila nkikumbuka tym zile za mbungi za kufungiana mtaa na watoto wa tmk
Naona kabisa hao wamama wanaonewa
Hivi kwanini hao mambwiga wasijichanganye kwenye maskani za wahuniii kmmkeee?
Hahhh. Mwanaume maamuzi ya kutoroka ni chap sana ila kwa ke ni ngumu wanawazag sana haswa walio porini kabisa. Ila ungetisha sana na shule ipo safi safiEven now nikitaka baba kanisend sitakosa.. ila siko tayari… yan ule moyo sina kabisaaa.
Kuna kaka angu alibakiza dk chache atoroke.. mimi wa kike si nitatenguka nyonga 🤣🤣
Alifanya jaribio la kutoroka.. wakamdakia stendi. Sasa alitaka aende wapi na ule upara unamtambulisha 🤣🤣
Yule nae!! Sijui aliwaza nini
Vizuri kabisa wajinga hawaKufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake
kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale Lugalo, imesemwa vurugu hizo zinafanywa na wanajeshi hususan MP ambapo wwnatembeza kichapo kwa kila raia wanayemkuta. Hawwjali jinsia wala hali.
Je, jeshi ni DPP na Mahakama wakati huo huo? Wananchi wanaopigwa wana mchango upi kwenye tukio ambalo inasemwa marehemu alilianzisha dhidi ya dereva wa bajaji?
Ni lini wananchi watqthibitishiwa amani ndani ya nchi yao?
View attachment 2795689
View attachment 2795690
picha hizi zinapatikana mtandao wa X kwa mtumiaji aitwaye Fortunatus Buyobe
Vyombo vyetu vya habari kama havipo ila wanaendekeza sana habari za udaku na ujinga wa kila namna. Hata kama imetokea hayo wengine hawahusiki na hayo wanayotendewa,hii nchi inaendeshwa kwa mjibu wa Katiba na sheria,watu waishi kwaku heshimiana ili Amani idumu.
Media House za Tanzania kwa kiwango kikubwa imekuwa ikifumbia macho matukio hasi yanayofanywa na serikali na vyombo vyake dhidi ya raia. Tumeona waandishi wengi wakipata teuzi ambazo ni kama rushwa za kisiasa.
Tunashukuru JamiiForums kutupatia jukwaa la kuzungumza kwa uwazi
Tuamke
Tuzinduke
Tuiponye Tanzania
Kiukweli bado hajazaliwa wa kunishawishi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahhh. Mwanaume maamuzi ya kutoroka ni chap sana ila kwa ke ni ngumu wanawazag sana haswa walio porini kabisa. Ila ungetisha sana na shule ipo safi safi
Hahahha baada ya zombi kula na kushiba vyema ameamua kutupa ucheshiNaona wanaume waoga kama mabinti
Yaan mijitu inamindevu mpaka matakoni ety inaogopa sare za jeshi ashuuuu iwena man
Hao wajeda wanawapiga wamama na wazee wa kawe kama vipi waende kuwapiga madereva boda na bajaji au waende mbagala kwa mandota au Chuga kwa machalii wa araaa au rock city kwa watoto wa wakoma au waende Mara kwa wakurya ili tuone ubavu wa maMP,
Binafs Mimi ni mpole now staki shida na mtu Ila ukinletea ubabe nakubaka tu mpk useme "zombi zombi zombi utaniuaa aah "
Ila nkikumbuka tym zile za mbungi za kufungiana mtaa na watoto wa tmk
Naona kabisa hao wamama wanaonewa
Hivi kwanini hao mambwiga wasijichanganye kwenye maskani za wahuniii kmmkeee?
IlaaaaaHahahha baada ya zombi kula na kushiba vyema ameamua kutupa ucheshi
PKufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake
kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale Lugalo, imesemwa vurugu hizo zinafanywa na wanajeshi hususan MP ambapo wwnatembeza kichapo kwa kila raia wanayemkuta. Hawwjali jinsia wala hali.
Je, jeshi ni DPP na Mahakama wakati huo huo? Wananchi wanaopigwa wana mchango upi kwenye tukio ambalo inasemwa marehemu alilianzisha dhidi ya dereva wa bajaji?
Ni lini wananchi watqthibitishiwa amani ndani ya nchi yao?
View attachment 2795689
View attachment 2795690
picha hizi zinapatikana mtandao wa X kwa mtumiaji aitwaye Fortunatus Buyobe
Vyombo vyetu vya habari kama havipo ila wanaendekeza sana habari za udaku na ujinga wa kila namna. Hata kama imetokea hayo wengine hawahusiki na hayo wanayotendewa,hii nchi inaendeshwa kwa mjibu wa Katiba na sheria,watu waishi kwaku heshimiana ili Amani idumu.
Media House za Tanzania kwa kiwango kikubwa imekuwa ikifumbia macho matukio hasi yanayofanywa na serikali na vyombo vyake dhidi ya raia. Tumeona waandishi wengi wakipata teuzi ambazo ni kama rushwa za kisiasa.
Tunashukuru JamiiForums kutupatia jukwaa la kuzungumza kwa uwazi
Tuamke
Tuzinduke
Tuiponye Tanzania
Uoga tu bobu ww umekulia usabatoni ndy maana hujui mtaani wahuni wanaroho ganiwe unaongea nini ? hiv unajua kuingia kwny kumi na nane za hawa watu ni mzozo mwingine au unadhani wanakupa story za vijiweni
Kumshawish mtu kwenda huko haifai anaweza kufa ukabak unajutia ila akisikiliza story na akipenda mwenyew safi safi, Sita shawish mwanangu aende ila akipenda akwendeKiukweli bado hajazaliwa wa kunishawishi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣