Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

Inasikitisha sana
 
Chombo pekee cha habari kilichobaki TZ ni Jamii Forums pekee.
Kwangu JF imekuwa ni sehemu sahihi na ya pekee ya kujua yanayoendelea duniani.


P
Hiyo P hapo chini unamaanisha nn mkuuπŸ™ƒπŸ€ͺ
 
Mkuu Tuko bize na Israel na HAMAS wakati hamas nyingine iko kwwtuπŸ˜…πŸ˜…
 
Kumshawish mtu kwenda huko haifai anaweza kufa ukabak unajutia ila akisikiliza story na akipenda mwenyew safi safi, Sita shawish mwanangu aende ila akipenda akwende
Marafiki zangu walienda wakanishawishi niende ... Ni kweli wanalipwa vizuri na posho kibao....hata hivyo nafurahia maamuzi yangu yalikuwa sahihi 100%.
 
Ni zaidi ya ukoloni .... Mbunge wa Kawe anasemaje kwani?? Kawaacha watu wake wakafie mbele?
 
Tupo na Palestina kwanza
 
Umesema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…