Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Kwa hiyo mkuu na mimi nipo huku Mbezi na nimeoa huko unataka kusema nimejibanika tayari watu wanaandaa kachumbari na mimi soon nitatembea?
sijasema mimi Hahahaha, mpaka tarehe yako imewekwa inasubiriwa sababu tu
 
Kila ndoa kumi zinazofungwa mjini,kat yao saba n wanawake kutoka Kilimanjaro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…