Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Ondoa Kigoma weka TANGA
Ondoa Mwanza weka Njombe
Ondoa Mwanza weka Njombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchaga wa Siha, Machame au Kibosho?Mchumba wangu ni mchaga kila mtu nikimuambia Mchumba wangu ni mchaga lazima agune na aniambie niwe makini, Sema kana jeuri kwa mbali japo sio sana
sijasema mimi Hahahaha, mpaka tarehe yako imewekwa inasubiriwa sababu tuKwa hiyo mkuu na mimi nipo huku Mbezi na nimeoa huko unataka kusema nimejibanika tayari watu wanaandaa kachumbari na mimi soon nitatembea?
Tatizo lenu maji mara moja. Mnagawa Sana hovyo6.singidani
Hapa lazima kwanza tuangazie mikoa inayoongoza kwa kwa mauaji yanayohusiana na mahusiano, halafu tuendelee, ukianza na hilo hiyo Kilimanjaro haichomoki top fiveIshu syo kufa,mnaishi kama mke na mume lakini huoni uhalisia wenyewe
Singida na kuachana hawaoni tabu, wanagawa kweli kweliTatizo lenu maji mara moja. Mnagawa Sana hovyo
hata katika misiba pia iko hivyo hivyoKila ndoa kumi zinazofungwa mjini,kat yao saba n wanawake kutoka Kilimanjaro.
na mara nyingi waume zao hutangulia ku-pass awayMikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha
1.Kilimanjaro
2.Iringa
3.Kigoma
4.Mara
5.Mwanza
Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃♂️
Hapo KLM ni ukweli na Uhakika🤣
Mno yaniHapo KLM ni ukweli na Uhakika🤣
MtwaraMikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha
1.Kilimanjaro
2.Iringa
3.Kigoma
4.Mara
5.Mwanza
Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃♂️
Ongezea na Dodoma Wilaya ya chamwino to be specificMikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha
1.Kilimanjaro
2.Iringa
3.Kigoma
4.Mara
5.Mwanza
Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃♂️
Mtwara
Pwani
Njombe
Tanga
Dodoma
Tabora
Rukwa
Pemba
Chamwino wapo kabila lipiOngezea na Dodoma Wilaya ya chamwino to be specific