Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

Kkoo at 28 tayari una zaidi ya 250m kama ulipambana na kuheshimu wateja wako miaka mitatu tu nyuma (at age 25 )na kuwaletea vitu vizuri.
Na wapi wengi sana, Tanzania ina vijana wengi sana wana ukwasi bila wizi.
 
Una Kila dalili za kuwa Mwizi
 
Ningumu aisee kwa mchi hii! yaan haiwezekani hao watajifariji hapo lakin haiwezekani
 
Kuna dogo yupo sehemu x aliwekwa na mzee wake ambapo kwa mwez mshahara tu analamba 10+m bado marupu rupu na ma bonus mengine na yupo under 30 je huyu kuwa na 100m ni ajabu?
 
Swadakta!
 
Kwa umri huo, unawezaje kuwa na milioni 100!
May be baada ya shule ya msingi,
Ukaenda kufanya kazi! Yenye malipo mazuri,
 
Linawezekana kabisa. Vijana wa mbao, madini na biashara za kkoo under 30 hyo hela wanayo kabisa tena from the scratch.

Mimi at age 24 nilipiga biashara ya mbao nilinunua msitu nikaanza kuchana mbao ilinichukua miez kama saba tu kufikisha kitita cha 55 million. Mademu na marafiki wakanirudisha group zero
 
Kama mtajikita kwenye elimu ya kweli badala ya kukariri, kwa afrika linawezekana kabisa ila tatizo hakuna ubunifu wala vijana wa kuvumbua vitu
Unatoka chuo kikuu hujui lolote hata Veta afadhali

Majuu inawezekana kwa sasa maana kuna mitandao leo kuna vitoto vina hela na hawana elimu hivyo
Ila kwa afrika labda madini
 
Sio kweli, japo Mimi sina 100m lakini hayo mambo yanawezekana hasa kwa wale waliobahatika kukutana na watu wenye focus wakiwa kwenye 20s . Usipigie hesabu vijana wanaomaliza Chuo na degree zao. Hao hawawezi toboa kwenye 100m wakiwa under 30 huo ndo utakuwa wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…