ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Beti ipi inayompa mtu Utajiri?Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Pesa ya kukopa sio saving yako binafsi,mkopo unahesabika ni deni(liability) na muda wowote inaweza kukirudisha nyuma mara mbili zaidi ya ulivyokuwa.Kumiliki 100m sidhan kama ni utajiri.
Binafsi umri wangu bado haujafika hapo kwenye 30. Ila kutokana na kazi na mshahara wangu nakopesheka mpaka mil 100 nikitaka.
Je hapo nakuwa tajiri?
Huo ndio ukweli ni awe jambazi au Utajiri wa Wazazi au anatumiwa kwenye biashara ya Madawa.Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Hatuzungumzii hela za mikopoKumiliki 100m sidhan kama ni utajiri.
Binafsi umri wangu bado haujafika hapo kwenye 30. Ila kutokana na kazi na mshahara wangu nakopesheka mpaka mil 100 nikitaka.
Je hapo nakuwa tajiri?
Ila mtoa mada kasema neno KUMILIKI.Hatuzungumzii hela za mikopo
Hilo ni deni mkuu
Muktadha unahusu mpambanajiIla mtoa mada kasema neno KUMILIKI.
ikiwa ktk bank account yangu nikakuinyesha statement utajuq kama ni mkopo?
NamWatu wanapeana moyo tu humu.
-Inshort inawezekana ila hue umewahi kugraduate.
-At least kwe age ya 23 tayari ushamaliza masomo.
-Pia hue street smarter
-Huwezo wakutengeneza connections then unawin
But hivi vyote sio simple kabisa kwa kijana wa TZ.
-Watu wanachowin saiv ni kugraduate mapema.
-But kama umetokea familia masikini ni mtihani.
-Kuwin hustle za mtaa nazo nikama bet sio simple.
-Connections nazo pia kutengeneza ni ngumu.
Mifumo yakitanzania labda ukafanye kwenye upande wa burudani ndo atlist unaweza jikuta ndani ya iyo miaka 7 kutoka 23 utakua ushawin lakini na kwenyewe ni kwakujitoa akili sana.
Tofauti na hapo tusidanganyane kua ni simple na ndo maana kwenye vijana 100 unaweza kuta wakushika 100M net PFT bila msaada wa wazaz au ndugu basi ni mmoja kati ya hao wote.
Fanya kuangalia hawa street winners then piga hesabu walianza kushika pesa 100M umri gani na hustle zao zilianza lini ndo ugundue sio simple.
MillardAyo - Born 1986 Age 37
Diamond - Born 1989 Age 34
Samatta - Born 1992 age 31
Joti - Born 1982 age 41
Chukua izo sample walau calculate then upate majibu.
masikini hawa....nahisi wanaishi uswahiliniMkuu ndio ujue mentality hii inaonesha level za umaskini uliopo TZ, yaani kijana kumiliki milioni 100 akiwa chini ya miaka 30 basi ni maajabu[emoji23][emoji23] kwamba ni mwizi.
Mi mwenyewe bila wizi ningekuwa mbali sana kurudi nyuma. Tupe maukanja mkuu
Sio dhambi ni haki ya mtu kua tajiri tulichosema kwenye maada labda kidogo haujakielewa vyema pale maada haijakataa kijana mdogo kua tajiri lakini Kwa age hio nikwanjia gani amepita na kua pesa hio ndio swaliAliyesema hivyo ni mpumbavu sana na maskini wa kifikra. Siasa za ujamaa na kujitegemea ziliharibu sana fikra za watu na kudhani utajiri ni dhambi. Hadi nyakati hizi kwenye kampeni za uchaguzi wagombea hufanya maigizo kwamba wao ni maskini tu kama wapiga kura. Wapiga kura nao kwa kutaka kampani ya umaskini huishia kuwapigia kura wagombea wa aina hii. Tanzania utakuta mtu kama Fred mwenye umri wa zaidi ya miaka 35 anaitwa tajiri kijana wakati dunia ya leo ina mamilionea wenye miaka chini ya 25. Fikra kama hizo ndo zimefanya nchi kuendelea kupoteza pesa kwenye miradi kama BBT kwa kudhani kuna utajiri wa vikundi badala ya kuwawezesha vijana ambao tayari wako kwenye kilimo. Umaskini ni fedheha, tuukatae. Utajiri sio dhambi wala uhalifu.
Wazee wetu wengi hawataki kabisa changamoto mpya toka kwa vijana. Mimi niliwahi kuwa mwalimu wa sekondari kwa miezi kadhaa kabla sijaenda chuo.. nakumbuka niliandaa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha pili nikayaweka kwenye wastani na madaraja (division). Mkuu wa shule akaniambia hiyo haifai yabadilishe kwenye report form isome wastani tu. Mambo ya division hadi form four. Nikashangaa sana na ninakumbuka waalimu wazoefu walinicheka na kusema TULIKUAMBIA. Miaka kadhaa mbele NECTA wanatoa matokeo ya form II kwa division. Kama lile wazo lingechukuliwa tungekuwa mbali sana ila kwa sababu ndo kwanza nilikuwa mdogo wa umri miaka 20 kasoro nikapuuzwa.
Yani ubeti uwe tajiri?tafuta pesa kijanaKauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Na wewe ni mpumbavu kama mleta mada. Hizo njia alizopita si mngeenda kumuuliza mhusika kabla ya kutamka kuwa ni mchawi au mwizi? Acheni fikra za kimaskini.Sio dhambi ni haki ya mtu kua tajiri tulichosema kwenye maada labda kidogo haujakielewa vyema pale maada haijakataa kijana mdogo kua tajiri lakini Kwa age hio nikwanjia gani amepita na kua pesa hio ndio swali
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mpumbavu niweweNa wewe ni mpumbavu kama mleta mada. Hizo njia alizopita si mngeenda kumuuliza mhusika kabla ya kutamka kuwa ni mchawi au mwizi? Acheni fikra za kimaskini.