Kuna watu bado mnaishi Miaka 30 nyuma !Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe
Hivi Kwa muktadha wa Sasa Beberu ni nani?!
Unakua kama Jiwe aliwaita Wazungu Mabeberu hàlafu ,hata dawa alizokuwa anazitumia anapewa na Mabeberu!
Na mikopo ya kufa mtu!
Dunia imebadilika sana kijana!.hayo ya Mabeberu yaache kwenye Mitihani ya Shule!
Hivi unajua kuwa Makaburu na Mabeberu ya Afrika Kussini ,yalibadilika ghafla kuwa Wawekezaji na Wadau wa Maendeleo ghafla tu baada ya Mandela kutolewa Gerezani!
macho