Ukiona kiongozi yeyote wa Afrika aliye karibu na Mabeberu tambua kuwa huyo yupo tayari kuwasaliti watu wake kama alivyofanya Mobutu Sese Seko

Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.

Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.

Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.

Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe
Kuna watu bado mnaishi Miaka 30 nyuma !
Hivi Kwa muktadha wa Sasa Beberu ni nani?!
Unakua kama Jiwe aliwaita Wazungu Mabeberu hàlafu ,hata dawa alizokuwa anazitumia anapewa na Mabeberu!
Na mikopo ya kufa mtu!
Dunia imebadilika sana kijana!.hayo ya Mabeberu yaache kwenye Mitihani ya Shule!
Hivi unajua kuwa Makaburu na Mabeberu ya Afrika Kussini ,yalibadilika ghafla kuwa Wawekezaji na Wadau wa Maendeleo ghafla tu baada ya Mandela kutolewa Gerezani!

Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.

Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.

Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.

Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Bila ya hao unaowaita mabeberu huwezi fanya lolote wewe, THUBUTU, hata siku moja wewe jipe moyo tu lakini umetanguliwa na hao MABEBERU, hao mabeberu ninyi ni mbuzi jike siyo? Acha siasa za Polepole asiye na maana. Hizo nguo unazovaa hazikugunduliwa na MABEBERU? Hapo bado hujaongelea kiberiti, baiskeli, gari, trekta,ndege etc. Wewe usiye beberu na uliye mbuzi jike umegundua nini? Ukidaiwa mirahaba ya huduma zote zilizogunduliwa na hao mabeberu unaowasema ingekuwaje? Huenda ungepauka kwa madeni...ebu nyamaza wewe uliye na akili ndogo. Tunawategemea kwa kila kitu, sisi hata vitu vidogo vinatushinda tu.
 
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.

Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.

Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.

Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Wewe ni lofa kweli huko kichwani na ikakuathiri tumboni mwako. Tulia dawa ikuingie.
 
Marehemu Mugabe aliwahi kumshushua Vasco Dagama alipokuwa Mwenyekiti wa OAU kuwa alikuwa MNAFIKI; mbele ya wazungu alikuwa anajipendekeza na akija kwa waafrika anawaambia maneno tofauti kabisa!
Mugabe siyo mfano mzuri wa kiongozi wa maana
 
Madhara ya kukosea kuchagua huwa ni makubwa
 
Mugabe siyo mfano mzuri wa kiongozi wa maana
Inategemea na umri wako! Mugabe alikuwa ni mmoja wa viongozi wa Africa aliyekuwa mzalendo mwenye uthubutu. Huwezi kumuweka kundi moja na hawa roho rojo wengine wa leo kazi yao kuwaabudu wazungu!
 
Mugabe aliabudu wazungu kwa muda mrefu,alipenda uk 90 mwishoni au 2000 mwanzoni wakamfanya vibaya,aliporudi akaamrisha kupora mashamba ya wazungu
 
I can’t argue with you because you are stupid and do not know what you are writing about!
Huijui historia ya Zimbabwe afadhali ukae kimya.
 
Ngojeni kwanza; kwamba wengi mnao changia UZI hu mmetengeneza assuption kichwani au nini? Kwamba hamuamini kwamba kujipendekeza kwa WAZUNGU ni kuuza nchi? Kwamba hamuamini kwamba Lumumba aliuawa na Mabutu alishiriki KIFO chake na Mabutu huyo huyo akaisahau Kongo/Zaira na kujikita ULAYA!?
 
I can’t argue with you because you are stupid and do not know what you are writing about!
Huijui historia ya Zimbabwe afadhali ukae kimya.
Kwamba wewe na wenzio wachache mna access na historia ya Zimbabwe siyo!!?..mbuzi kasoro manyoya
 
Wewe bwabwa Mugabe hajawahi kujipendekeza kwa wazungu maisha yake yote! Tena usije ukasema mbele ya wasomi upumbavu wako huo utajiabisha!
 
Mbona umeandika kama jungu flani hivi...
 
Wewe bwabwa Mugabe hajawahi kujipendekeza kwa wazungu maisha yake yote! Tena usije ukata mla mbele ya wasomi upumbavu huo utajiabisha!
Angewanyang'anya mashamba alipochukua tu nchi hiyo 1980s,walipomuonesha kwamba yeye ni kibaraka tu na hawezi kula meza moja na wao kule uingereza 1999,akarudi kuwanyang'anya mashamba,kiongozi afrika ambaye hakuwa kibaraka wa wazungu ni nkurumah,Gaddafi na mandela
 
Aliwanyang’anya mashamba wazungu baada ya Uingereza kukiuka makubaliano ya kuwa wangetoa compensation ya hayo mashamba ili serikalini ya Zimbabwe iweze kuyanunua na kuwagawia wazawa!
Unajua taarifa hizo?
 
Angewanyang'anya mashamba alipochukua tu nchi hiyo 1980s,walipomuonesha kwamba yeye ni kibaraka tu na hawezi kula meza moja na wao kule uingereza 1999,akarudi kuwanyang'anya mashamba,kiongozi afrika ambaye hakuwa kibaraka wa wazungu ni nkurumah,Gaddafi na mandela
Huwezi kumpenda Mugabe kwasababu alimuumbua baba yako na unafiki wake!
 
Mimi mzarendo kwerikweri

Mimi ni mjamaa , cheki sasa life style yake teh teh

Aise sisi ni mitaji yao tu

Ova
 
Back
Top Bottom