Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana


Umekuwa na tabia ya kumtaja Tundu Lisu ili kuupa uhalali mtazamo wako. Huyo Lisu umemtaja ili kumficha dhalimu humo ndani.
 
Wote ulio wataja ni wa shenzi na wazandiki
 
Hapo nasitasita kuhusu slaa.
 
Namba moja na namba mbili umenichefua sana tuanze na 1 alikuwa mtu wavisasi mwenyekujidia madaraka mfano sisi wavuvi tulimfanya nini ajira wasomi wamerundama kwenye utawala wake niayake kubwa ilikuwa kuuwa elimu watu waone haina maana kabisa alaniwe
Namba 2 hakupenda wasomi na alikuwa mdini sana alichagua kiswahili ilitusijitambue haya nimawazo yangu
 
We jamaa una vituko sana. Unachanganya malaika na mashetani halafu unalazimisha wapendwe wote! How?
 

Unafiki pembeni.

Namba 1, Mungu anawapenda sana Watanzania, amewaondolea mzimu

Nasimama na Mwl na Lissu

Husein Mwinyi, wazenji watasimama badala yangu hapo
 
Namba 6 hafai hata kidogo Muongo kishenzi..Jiwe kilichomuharibia chawa
 
Wewe mtoa mada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwizi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.

Nyerere hii anaongelewa na calibre za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.

Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
 
Mamba 1, ndio mtu shujaa pekee
aliyekuwa na mapenzi ya dhati kwa nchi yake na kwa watanzania wenzake kiasi cha kuto thamini maisha yake.
Na hakuwa mbinafsi.
 
Namba 5 pia angalau alionyesha uzalendo na asieshikiwa akili na walamba asali kiasi cha kuhama chama baada ya walamba asali kumkaribisha waliemuita fisadi na mwizi kuwa mgombea wa urais na hiyo ndio fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…