Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

We mwenyewe umesha jitathmini?
 
No. 1 namchukia sababu alikuwa kichaa, jambazi, fisadi, muuaji na rais wa hivyo kuwahi kutokea tangu uhuru
 
Umekuwa na tabia ya kumtaja Tundu Lisu ili kuupa uhalali mtazamo wako. Huyo Lisu umemtaja ili kumficha dhalimu humo ndani.
Nami nlitaka niseme km hivyo.
Yaani huyu jamaa kutwa kucha anahangaika kujaribu kuficha aibu za Dictator Magufuli.

Sasa kwa kutuzuga eti anamchomeka na Lisu ili ku neutralise ushenzi wa yule Ibilisi
 
kwenye siasa kuna kitu kinaitwa propaganda mtakuja kijua .
Km ni propaganda tuambie ukweli wewe basi, wapi Ben Sanane?
Nani alimdungua marisasi Lisu?

Tuambie kufuta unachokiita propaganda
 
Hivi hii "vita ya kiuchumi" adui yetu huwa ni nani?
Ni kauli zinazotumiwa na watu walaghai.
Hata Museven mpaka leo amefanikiwa kuihadaa dunia Kwamba Kibwetere aliwachoma moto watu 700 kanisani wakati ukweli Museven ndio Kibwetere mwenyewe.
 
Mkuu, chuki ni huruka tu ya mtu huwa tunaichukulia kama udhaifu. Jpm, Tundu Lissu and J.k Nyerere they'll always in memory.
 
ni kweli mama yake anatoka Kagera na Kagera inapatikana ndani ya nchi hii hivyo mama yake ni nchi yake kama mimi na wewe tulivyo wa nchi hii japo ukihesabu vizazi vyako vitano asili yako inaweza kuwa sio wa nchi hii.
Baba yake ni wa wapi?
 
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
Huyu onload kabisa tupa kule, hakuna chochote cha maana toka kwake. Na huo unaouita ujasiri wala siyo ujasiri, ni matokeo ya skruu fulani kulegea na dishi kuyumba. Kama unataka kuhakikisha basi mtaani ukaanzishe vagi na chizi, utauona mziki wake.
 
Huyu onload kabisa tupa kule, hakuna chochote cha maana toka kwake. Na huo unaouita ujasiri wala siyo ujasiri, ni matokeo ya skruu fulani kulegea na dishi kuyumba. Kama unataka kuhakikisha basi mtaani ukaanzishe vagi na chizi, utauona mziki wake.
Umbwa wewe.alivompelekesha marehemu mpaka akakata moto na nileeeteni gwaaajima nileeeteni gwajima.TL si mchezo
 
Kama unataka tuendelee na mjadala futa huyo No.6 Kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…