abrahamkombe
Member
- May 31, 2020
- 28
- 26
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Wanaosifu wauwaji wa wanaotofautiana nao kimawazo tabia ya wivu kuzulumu kuwa mwongo na mkabila kunaondoa sifa unazotamani wasiokuwepo wawe nazo Hafai hata ukimpamba kwa dhahabu. Alikuwa hai yaaniMabeberu
Una akili za kushikiwa.Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .
2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora
5. Wilbroad Slaa
Msema kweli
6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi
Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Uko sawa ila sio kwa antipass lissu. Huyo ni mtu mbishi wa kila kitu. Kazaliwa kupinga tu na recently anaunga mkono ushoga.Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .
2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora
5. Wilbroad Slaa
Msema kweli
6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi
Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Magu kwao ni burundiTuliza akili kidogo kama unazo, kwani wewe mamayako hii sio nchiyake, ama mamaako sio mtanzania.
Toa Jiwe muweke Freeman MboweJPM namchukia,mimi huwa sipendi watu wabinafsi
JPM aliifanya hii nchi kama ni ya mama ake
Ndo wale wale,sijui hata Lissu anawezaje kuwa kwenye chama ambacho hakina demokrasia
Nakubali... ila hata Mwinyi hana baya... kwahiyo hapo niUnamuwekaje Tundu Lissu na hao jamaa waongo waongo? Hapo ni Tundu na Nyerere
Siku nyingine ukitaka kumsifia unaempenda jitahidi uje kwakuuliza swali siokulazimisha watu kama unawamiliki wewe mungu haonekani lakini analaumiwa itakuwa hawa viongozi wenye tamaa na visasi ambao kwao mawazo mbadala kwao niuadui jifunze sana ukichefua watu tunachefuanaHabari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .
2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora
5. Wilbroad Slaa
Msema kweli
6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi
Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
hapo 1.NyerereHabari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .
2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora
5. Wilbroad Slaa
Msema kweli
6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi
Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Magufuli anajenga International airport na referral hospital kijijini kwake na mbuga ya wanyama bado unasema hakuwa mbinafsi??Mamba 1, ndio mtu shujaa pekee
aliyekuwa na mapenzi ya dhati kwa nchi yake na kwa watanzania wenzake kiasi cha kuto thamini maisha yake.
Na hakuwa mbinafsi.
Hata wewe tukijua kabilalako tutakuambia kwenu ni wapi.Magu kwao ni burundi
Magufuli anajenga International airport na referral hospital kijijini kwake na mbuga ya wanyama bado unasema hakuwa mbinafsi??
Magufuli anaua wananchi wake, anapiga risasi wakosoaji, ananyima maendeleo majimbo yaliyokuwa chini ya upinzani bado unasema alikuwa na mapenzi ya dhati kwa wananchi??
Kweli siyo kila mwenye kichwa ana ubongo, wengine kama Liwagu vichwa vyenu vimejaa kamasi tu!!
Karibu mgeniUkweli utabaki kuwa ukweli tu. Wanaosifu wauwaji wa wanaotofautiana nao kimawazo tabia ya wivu kuzulumu kuwa mwongo na mkabila kunaondoa sifa unazotamani wasiokuwepo wawe nazo Hafai hata ukimpamba kwa dhahabu. Alikuwa hai yaani
Mbowe na Mchungaji Msigwa asili yao ni MalawiHata wewe tukijua kabilalako tutakuambia kwenu ni wapi.
Wa Tanzaniawengi hawana asili ya hapa Tanganyika.
- Yeyote aliyekuwa na mawazo chanya, hasa yaliyokinzana na mawazo au mtamo au fikra za 'Mwenyekiti', Huyo tayari alihesabika adui. Na mifano hai ni mingi.Hivi hii "vita ya kiuchumi" adui yetu huwa ni nani?
Kwanini niulize wananchi wakati namfahamu Magufuli kuanzia anasoma Mkwawa Secondary School mwaka 1980?Toka humu jf uliza wananchi kumi unaowaona mbeleyako wakupe maoniyao juu ya utawala wa Magu,