Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

Umenena
 
Hebu mtoe hapo huyo kibaraka wa mabeberu.
 
ni kweli mama yake anatoka Kagera na Kagera inapatikana ndani ya nchi hii hivyo mama yake ni nchi yake kama mimi na wewe tulivyo wa nchi hii japo ukihesabu vizazi vyako vitano asili yako inaweza kuwa sio wa nchi hii.
Baba yake anatokea wapi ?
 

Vita ya kiuchumi manaaake hapo kwanza ncheke.
 
Toa kabisa huyo muuaji namba 1 na jambazi kuu. Toa namba 5 huyo opportunist anayeendeshwa na kichwa cha delila. Toa number 6 Muongo mkuu wa karne Africa.
Bakiza
2. Mzalendo aliyejisahau hata mwenyewe
3. Mzalendo bora africa aliyediriki kuhatarisha maisha yake dhidi ya manyang'a waporaji wa raslimali na wauaji.
4. Msema kweli ambaye bado hajaanguka kwenye tuhuma
 
Majaliwa hapana.
 
kwa hio mpangilio na majina uliyojaza hapo inaonekana hata siasa huzijui.
 
Mtoe mmoja.Alikuwa faragosi.
 
mmemuelewa jembe Majaliwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…