Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

Nilishakwambia Njia ya kuishi uwe na furaha ni kukubali Israel ina Mungu mwenye nguvu. Tulia tuijenge Tanzania yetu
hakuna anayekubali fikra kama hiyo isipokuwa mwenye akili za kishoga.
Mungu wetu ni mmoja anayeona na kuhukumu kila kitu.
 
Israel 🇮🇱 itapoteaa kwenye ramani ya dunia tuu
Trump pia analijua hilo.Kasema akichaguliwa Kamalla basi katika muda mfupi Israel itafutika.
Pia kawaonya watu wa jamii za kiyahudi Marekani kuwa wasipomchagua yeye basi watajuta.
 
Hapo vipi kuna longo longo au??🤣
 

Attachments

  • IMG_6779.jpeg
    212.1 KB · Views: 2
  • IMG_6780.jpeg
    201.9 KB · Views: 2
Trump pia analijua hilo.Kasema akichaguliwa Kamalla basi katika muda mfupi Israel itafutika.
Pia kawaonya watu wa jamii za kiyahudi Marekani kuwa wasipomchagua yeye basi watajuta.
USA ana muhitaji Israel- Kuliko Israel inavyomwitaji USA- Achana na UN sijui NATO sijui Nani. Israel anachotaka ndo USA itafanya! Usijiongopee kuwa et kuna siku UN itamfanya Israel afuate UN wanataka nini. Hamas walikosea sana kuivamia Israel wakijua kuwa UN, USA na Arab world watawasaidia. Hili ni kosa kubwa sana ambalo litabadilisha kabisa Siasa za Middle East. Israel ndo taifa pekee lenye uwezo wa kupigana Vita na nchi ata 6 kwa wakati mmoja. Na akaweza shinda vyote.... USA,Urusi na China labda ndo nchi pekee zenye uwezo wa kupigana na Israel na Israel ikashindwa.... Lakini hizi 3 supper power ni Mabest wa Israel na akuna siku watageuka kuwa maadui. Warabu wana amini kuwa ipo siku watasimika utawala wa Sharia Duniani- hichi kitu akipo na akitotokea. Wapalestina wanaamini kuwa ipo siku watakuwa na nchi yenye makao makuu ya nchi Israel🤣🤣 hiki akipo ni ndoto za alinacha🤣🤣🤣 Kwa kifupi Zaidi ya miaka 50 Marais wote waliochaguliwa katika USA ni vipenzi wa Israel- Israel kwa namna moja au ingine inachangia pakubwa nani awe raisi USA.
 

Attachments

  • IMG_7009.jpeg
    248.3 KB · Views: 2
  • IMG_7011.jpeg
    158.3 KB · Views: 1
  • IMG_7010.png
    106.3 KB · Views: 2
Israel hii sio mara ya kwanza. Walisha wai Tengeneza kampuni hewa za kuuza vipuri vya mitambo ya Kuzalisha Nuklia na kufanikiwa pata Tenda za kuuzia Irani Vipuri hivi🤣🤣 kilichotokea mpaka leo Iran aitosahau na mpaka jana Mitambo ya Nuklia Iran inajiripukia tu Israel akijisikia🤣🤣

 
Iran Alisha soma hawezi kuingia labda Vyuma vishuke Tehran. Pale ndio mtajua muajemi ana silaha gani
 
Aibu akuna pale unapojitetea na haki yako ya kuishi
 

Attachments

  • IMG_7030.jpeg
    45.5 KB · Views: 2
  • IMG_7026.jpeg
    88.5 KB · Views: 2
  • IMG_7027.png
    77.4 KB · Views: 2
  • IMG_7024.png
    67.7 KB · Views: 2
Haya yote unayoyazungumzia yangekuwa ni kweli kama dunia haina muumba wake au na kama wewe mwenyewe unajua kitu kinachoitwa ghaibu.Kinyume na hivyo hayo ni mawazo na mapenzi yako ambayo hakuna wa kuyazingatia.
 
Haya yote unayoyazungumzia yangekuwa ni kweli kama dunia haina muumba wake au na kama wewe mwenyewe unajua kitu kinachoitwa ghaibu.Kinyume na hivyo hayo ni mawazo na mapenzi yako ambayo hakuna wa kuyazingatia.
Kuna Mungu wa Israel na kisha hizi Takataka zingine zinazoitwa Mungu- 1 Wafalme 18:26–27
 
Na unapojitetea na haki yako ya kuishi jee kuna kitu kinaitwa ugaidi?
Kungangania Ardhi ya Watu, na kusema yako na unataka angamiza wenye uhalali wa kuishi kwenye hiyo nchi nani mkosefu?? WAPIGWE TU MPAKA WACHAKAE
 

Attachments

  • IMG_6897.jpeg
    123.5 KB · Views: 2
Kungangania Ardhi ya Watu, na kusema yako na unataka angamiza wenye uhalali wa kuishi kwenye hiyo nchi nani mkosefu?? WAPIGWE TU MPAKA WACHAKAE
Wenye akili na kufuatilia histori wameona kuwa hiyo ardhi ni ya wapalestina.Lakini kuepusha shari zaidi basi angalau Israel ijiondoe kwenye ardhi inayoendelea kujimilikisha kuanzia mwaka 1967
 
Hizbullah wamerusha maroketi 100 kwa mpigo
 
Ni kweli, ila sahihisho Stuxnet ni ilikuwa ni cyberattack, ni computer virus.
 
Walitaka hizbullah wote waliokuwa wanazitumia wafe lakini hawakufa wote isipokuwa wachache sana na wakafa na wasiohusika ikiwemo watoto
Walitaka Hizbullah washindwe kurusha makombora wanayoyaogopa na jioni yake wakaendelea kuyavurumisha.
Mmeanza watoto tena 😀😀😀😀😀
 
Aibu akuna pale unapojitetea na haki yako ya kuishi
Aibu ni kwa vile pamoja na kupiga huko Hizbullah wamebaki na wameweza kupiga mji wa bandari wa Haifa.
 
vita hushindiwa kwa kushinda mapambano madogo madogo ,hivyo israel juiingilia vifaa vya mawasiliano vya kilebanoni na kuvilioua na kupelekea opponent wake kujeruhiwa na wengine kufa hayo ni mafanikio sana kwake,tuwe wa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…