Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

Nilishakwambia Njia ya kuishi uwe na furaha ni kukubali Israel ina Mungu mwenye nguvu. Tulia tuijenge Tanzania yetu
hakuna anayekubali fikra kama hiyo isipokuwa mwenye akili za kishoga.
Mungu wetu ni mmoja anayeona na kuhukumu kila kitu.
 
Israel 🇮🇱 itapoteaa kwenye ramani ya dunia tuu
Trump pia analijua hilo.Kasema akichaguliwa Kamalla basi katika muda mfupi Israel itafutika.
Pia kawaonya watu wa jamii za kiyahudi Marekani kuwa wasipomchagua yeye basi watajuta.
 
Mbona kampeni za kuua mmoja mmoja hazijafanya kazi miaka yote hiyo.
Aliyeuliwa ni babu na keshafundisha wajukuu kwa maelfu.Na halafu uhakika wa yeye ndiye aliyehusika 1983 haupo.
Walishindwa nini kumkamata na kumpeleka mahakamani.Au wameamua tu waseme ili wasikike.
Hapo vipi kuna longo longo au??🤣
 
Attachments

  • IMG_6779.jpeg
    IMG_6779.jpeg
    212.1 KB · Views: 2
  • IMG_6780.jpeg
    IMG_6780.jpeg
    201.9 KB · Views: 2
Trump pia analijua hilo.Kasema akichaguliwa Kamalla basi katika muda mfupi Israel itafutika.
Pia kawaonya watu wa jamii za kiyahudi Marekani kuwa wasipomchagua yeye basi watajuta.
USA ana muhitaji Israel- Kuliko Israel inavyomwitaji USA- Achana na UN sijui NATO sijui Nani. Israel anachotaka ndo USA itafanya! Usijiongopee kuwa et kuna siku UN itamfanya Israel afuate UN wanataka nini. Hamas walikosea sana kuivamia Israel wakijua kuwa UN, USA na Arab world watawasaidia. Hili ni kosa kubwa sana ambalo litabadilisha kabisa Siasa za Middle East. Israel ndo taifa pekee lenye uwezo wa kupigana Vita na nchi ata 6 kwa wakati mmoja. Na akaweza shinda vyote.... USA,Urusi na China labda ndo nchi pekee zenye uwezo wa kupigana na Israel na Israel ikashindwa.... Lakini hizi 3 supper power ni Mabest wa Israel na akuna siku watageuka kuwa maadui. Warabu wana amini kuwa ipo siku watasimika utawala wa Sharia Duniani- hichi kitu akipo na akitotokea. Wapalestina wanaamini kuwa ipo siku watakuwa na nchi yenye makao makuu ya nchi Israel🤣🤣 hiki akipo ni ndoto za alinacha🤣🤣🤣 Kwa kifupi Zaidi ya miaka 50 Marais wote waliochaguliwa katika USA ni vipenzi wa Israel- Israel kwa namna moja au ingine inachangia pakubwa nani awe raisi USA.
 
Attachments

  • IMG_7009.jpeg
    IMG_7009.jpeg
    248.3 KB · Views: 2
  • IMG_7011.jpeg
    IMG_7011.jpeg
    158.3 KB · Views: 1
  • IMG_7010.png
    IMG_7010.png
    106.3 KB · Views: 2
Haya unasema wewe, kwa hizo pagers na walkie talkies zilikuwa zinatumiwa na makamanda wa Hezbollah kuwasiliana.

Wao wakiona njia hiyo ni salama kuepuka mawasiliano yao kudukuliwa na kuingiliwa na shirika la ujasusi wa la Mossad.

Mossad alitengeneza kampuni hewa ambazo zilitengeneza hivyo vifaa vya mawasialiano. Na walihakikisha vinawafikia makamanda wa Hezbollah na sio raia wa kawaida. Order zilizolipuka ni za miezi mitano iliyopita na hizo kampuni zilizotengeneza hazipi tena. Hakuna trace.

Hapo bado kuna mashaka pia ya simu na laptop walizonazo hao Hezbollah. Kwa hiyo wamewashambulia na kushambulia njia za mawasiliano huku wakishambulia mfulululizo kwa ndege.

Wakiwasiliana kwa simu hapo ndio rahisi na itawa allocate zaidi, sijui watatumia njia gani wakati tayari mashambulizi yanaendelea.
Israel hii sio mara ya kwanza. Walisha wai Tengeneza kampuni hewa za kuuza vipuri vya mitambo ya Kuzalisha Nuklia na kufanikiwa pata Tenda za kuuzia Irani Vipuri hivi🤣🤣 kilichotokea mpaka leo Iran aitosahau na mpaka jana Mitambo ya Nuklia Iran inajiripukia tu Israel akijisikia🤣🤣

NETANYAU alikuwa ana- prolong vita ya GAZA ..akimsilbiria Swahiba wake TRUMP aingie madarakani ili atimize lengo lake la kuivuta US ktk vita against IRAN...watu wakafanya juhudi ya ceasefire fire lakini akawa anachenga.
Baada ya NETANYAU kuona kibao kimegeuka kwa KAMALA HARRIS for presidential possibility, then Sasa kaamua kuzalisha vita na Hezbollah a few weeks before US RLECTION ili tu kutimiza lengo lake kwa kuwa anajua lazima IRAN ataingia, na hapo US naye ataingia .Kuna jews wanacheza ndani ya ISRAEL na nje - US
Iran Alisha soma hawezi kuingia labda Vyuma vishuke Tehran. Pale ndio mtajua muajemi ana silaha gani
 
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio yake basi haraka huamua kujisifu ili kuongeza kitisho kama ilivofanya siku alipokufa Ismail Haniye na Alshukr.Lakini kwa hili shambulio la Lebanon japo limeonekana ni shambulio kubwa sana na la kisayansi lakini wenyewe wameamua kukaa kimya kutokana na aibu iliyowapata
Mashirika kadhaa ya kimataifa yametoa lawama wazi wazi wakilaumu shambulio hilo na wengine kusema ni sahambulio la kigaidi kwani limeuwa na kuumiza watu kadhaa wasiohusika.
Aibu zaidi ya shambulio hilo na kuonesha kufeli kinyume na kutaka kuonesha mafanikio makubwa ni kwamba watu waliokufa pamoja na wanachama wa Hizbullah hawajafika 100 na kwamba Hizbullah bado imeonekana kuwa na uwezo wa kurusha makombora mazito ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa ikiwemo kukata umeme baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini.
Kwa ujumla ujumbe unaoweza kupatikana kupitia shambulio hilo ni kuwa Israel imeanza kuchoka na kukata tamaa kupambana na maadui zake kwa njia za kawaida achilia mbali kuheshimu matamko ya kimataifa kuhusu vita.
Wako wanaojiuliza jee Israel imeishiwa na mbinu na silaha za kawaida kuendeleza vita na watu ambao imekuwa ikiwakandamiza kwa miaka mingi ?.
Aibu ninayoizungumzia hata UN wameiona

UN warns of escalating violence in the Middle East as ‘communications tools become weapons’

Aibu akuna pale unapojitetea na haki yako ya kuishi
 
Attachments

  • IMG_7030.jpeg
    IMG_7030.jpeg
    45.5 KB · Views: 2
  • IMG_7026.jpeg
    IMG_7026.jpeg
    88.5 KB · Views: 2
  • IMG_7027.png
    IMG_7027.png
    77.4 KB · Views: 2
  • IMG_7024.png
    IMG_7024.png
    67.7 KB · Views: 2
USA ana muhitaji Israel- Kuliko Israel inavyomwitaji USA- Achana na UN sijui NATO sijui Nani. Israel anachotaka ndo USA itafanya! Usijiongopee kuwa et kuna siku UN itamfanya Israel afuate UN wanataka nini. Hamas walikosea sana kuivamia Israel wakijua kuwa UN, USA na Arab world watawasaidia. Hili ni kosa kubwa sana ambalo litabadilisha kabisa Siasa za Middle East. Israel ndo taifa pekee lenye uwezo wa kupigana Vita na nchi ata 6 kwa wakati mmoja. Na akaweza shinda vyote.... USA,Urusi na China labda ndo nchi pekee zenye uwezo wa kupigana na Israel na Israel ikashindwa.... Lakini hizi 3 supper power ni Mabest wa Israel na akuna siku watageuka kuwa maadui. Warabu wana amini kuwa ipo siku watasimika utawala wa Sharia Duniani- hichi kitu akipo na akitotokea. Wapalestina wanaamini kuwa ipo siku watakuwa na nchi yenye makao makuu ya nchi Israel🤣🤣 hiki akipo ni ndoto za alinacha🤣🤣🤣 Kwa kifupi Zaidi ya miaka 50 Marais wote waliochaguliwa katika USA ni vipenzi wa Israel- Israel kwa namna moja au ingine inachangia pakubwa nani awe raisi USA.
Haya yote unayoyazungumzia yangekuwa ni kweli kama dunia haina muumba wake au na kama wewe mwenyewe unajua kitu kinachoitwa ghaibu.Kinyume na hivyo hayo ni mawazo na mapenzi yako ambayo hakuna wa kuyazingatia.
 
Kuna Mungu wa Israel na kisha hizi Takataka zingine zinazoitwa Mungu- 1 Wafalme 18:26–27
 
Na unapojitetea na haki yako ya kuishi jee kuna kitu kinaitwa ugaidi?
Kungangania Ardhi ya Watu, na kusema yako na unataka angamiza wenye uhalali wa kuishi kwenye hiyo nchi nani mkosefu?? WAPIGWE TU MPAKA WACHAKAE
 
Attachments

  • IMG_6897.jpeg
    IMG_6897.jpeg
    123.5 KB · Views: 2
Kungangania Ardhi ya Watu, na kusema yako na unataka angamiza wenye uhalali wa kuishi kwenye hiyo nchi nani mkosefu?? WAPIGWE TU MPAKA WACHAKAE
Wenye akili na kufuatilia histori wameona kuwa hiyo ardhi ni ya wapalestina.Lakini kuepusha shari zaidi basi angalau Israel ijiondoe kwenye ardhi inayoendelea kujimilikisha kuanzia mwaka 1967
 
Hizbullah wamerusha maroketi 100 kwa mpigo
1727027160162.png
 
Israel hii sio mara ya kwanza. Walisha wai Tengeneza kampuni hewa za kuuza vipuri vya mitambo ya Kuzalisha Nuklia na kufanikiwa pata Tenda za kuuzia Irani Vipuri hivi🤣🤣 kilichotokea mpaka leo Iran aitosahau na mpaka jana Mitambo ya Nuklia Iran inajiripukia tu Israel akijisikia🤣🤣

Ni kweli, ila sahihisho Stuxnet ni ilikuwa ni cyberattack, ni computer virus.
 
Walitaka hizbullah wote waliokuwa wanazitumia wafe lakini hawakufa wote isipokuwa wachache sana na wakafa na wasiohusika ikiwemo watoto
Walitaka Hizbullah washindwe kurusha makombora wanayoyaogopa na jioni yake wakaendelea kuyavurumisha.
Mmeanza watoto tena 😀😀😀😀😀
 
vita hushindiwa kwa kushinda mapambano madogo madogo ,hivyo israel juiingilia vifaa vya mawasiliano vya kilebanoni na kuvilioua na kupelekea opponent wake kujeruhiwa na wengine kufa hayo ni mafanikio sana kwake,tuwe wa wazi.
 
Back
Top Bottom